Sheria tete ya uchaguzi DRC kutupwa
Spika wa bunge nchini DRC amesema kuwa mabadiliko yaliozua utata katika sheria ya uchaguzi nchini humo yatatupiliwa mbali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Nadharia tete kuelekea Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Mwananchi27 Mar
SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi
11 years ago
Dewji Blog07 May
Waziri Mkuu Pinda katika tete-a-tete na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, bungeni mjini Dodoma May 7, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Wapinzani DRC wapokea tarehe ya uchaguzi
9 years ago
Habarileo02 Sep
Wakumbushwa sheria za uchaguzi
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi zao na kuzijua Sheria za Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikiwemo kufahamu kwamba chombo chenye uwezo wa kutangaza matokeo ya urais wa Zanzibar ni Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
‘Ushirika Muleba wapindisha sheria ya uchaguzi’
BAADHI ya wakulima wa chama cha ushirika cha Kamachumu kilichopo Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamedai kuwa uchaguzi wa kuwachagua wajumbe wa bodi na mwenyekiti wa chama hicho uliofanyika wiki iliyopita...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Sheria gharama za uchaguzi kung’ata
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.
9 years ago
Habarileo08 Oct
Lubuva: Wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewataka wa wasimamizi wa uchaguzi na makamanda wa Polisi wa mikoa nchini, kufuata sheria ya uchaguzi na kutenda haki na haki hiyo ionekane ikitendeka siku ya uchaguzi mkuu.