Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ushirika Muleba wapindisha sheria ya uchaguzi’

BAADHI ya wakulima wa chama cha ushirika cha Kamachumu kilichopo Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamedai kuwa uchaguzi wa kuwachagua wajumbe wa bodi na mwenyekiti wa chama hicho uliofanyika wiki iliyopita...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wapindisha sheria Ardhi wakalia kuti kavu

Wiliam LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewatahadharisha watendaji wanaorubuniwa na watu wenye fedha ili kupindisha sheria kwa lengo la kuwadhulumu wananchi ardhi zao.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Ushirika, Vicoba zingatieni sheria’

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amevitaka vyama vya ushirika na vikundi vya Benki za Jamii Vijijini (Vicoba), kuzingatia sheria na kanuni za ushirika ili kuchangia ukuaji wa uchumi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

5 years ago

Michuzi

Tuwe na uelewa wa Sheria ya Ushirika –Naibu Mrajis

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika Usimamizi na Udhibiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Bw. Collins Nyakunga ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) kuwa na uelewa wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na.6 ya mwaka 2013, Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha Na.10 ya mwaka 2018, miongozo na Kanuni husika za Ushirika.

Mrajis ametoa wito huo akiongea na Viongozi pamoja na Watendaji wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) wakati wa mafunzo ya Sheria Na.10 ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maofisa ushirika watakiwa kuisimamia sheria mpya

KAIMU Katibu Tawala mkoani Mtwara, Johansen Bukwali, amewataka maofisa ushirika nchini kuijua vizuri na kuisimamia sheria mpya ya Vyama vya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, kwani vyama hivyo vina...

 

10 years ago

Mwananchi

SHERIA: Sheria gharama za uchaguzi kung’ata zaidi

>Serikali inakusanya nguvu kuhakikisha Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010, inang’ata wagombea wote watakaojihusisha na rushwa katika harakati zao za kusaka uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Stephen Wasira, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 - 1963.

 

5 years ago

Michuzi

MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

 

9 years ago

Habarileo

Wakumbushwa sheria za uchaguzi

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi zao na kuzijua Sheria za Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikiwemo kufahamu kwamba chombo chenye uwezo wa kutangaza matokeo ya urais wa Zanzibar ni Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

 

10 years ago

Habarileo

Sheria gharama za uchaguzi kung’ata

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa na wagombea nchini kuzingatia Sheria ya Gharama ya Uchaguzi, kwani isipozingatiwa itawaathiri wengi watakaokiuka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani