SHERIA YA MATUMIZI YA MTANDAO KUTINGA BUNGENI
Na Elvan Stambuli ‘SARAKASI’ za Mkutano wa 19 wa Bunge la 10 zitaanza leo mjini Dodoma na imeelezwa kuwa ni maalum kwa ajili ya kushughulikia miswada ya sheria ikiwemo Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Computer and Cyber Crimes Bill, 2015) na ya vyombo vya habari ambazo tayari zimetinga bungeni. Bunge la jamhuli ya muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo26 Apr
BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.
Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.
Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
10 years ago
MichuziMtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
11 years ago
Michuzi10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Usawa wa matumizi ya mtandao kuangaziwa
11 years ago
Habarileo10 Jun
Kanuni kudhibiti matumizi ya mtandao
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa wizara yake inatayarisha Kanuni, zitakazodhibiti matumizi mabaya ya mtandao wa intaneti, ikiwemo uwekezaaji wa picha chafu mtandaoni.
5 years ago
YkileoUKUAJI WA MATUMIZI YA TEHAMA WAONGEZA UHALIFU MTANDAO
---------------------UPDATE:Apple has addressed a glitch that caused some iPhones to unexpectedly start auto-correcting the letter "i" to a capital "A" and a question mark.--------------------
Kuwepo na Kinacho...
5 years ago
MichuziTAASISI YA BASIC INTERNET FOUNDATION YAZUNGUMZIA MATUMIZI YA MTANDAO
Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV
TASISI ya Basic Internet Foundation (BIF)imesema kwamba limetambua matumizi ya mtandao itakayosaiflla kukuza utangamano wa nchi rafiki.
Hayo yalibainishwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu wa Internet Inclusion,Profesa Josef Noll alipokutana na wadau wa nchi nne ikiwemo mwenyeji wao Tanzania kwa lengo la kujadili umuhimu wa matuminzi ya internet hasa katika shule na vijijini.
Josef amesema ili kutambua matumizi ya internet yanayokuwa kwa kasi wakaona ...
9 years ago
GPLSHERIA YA MTANDAO INAMFILISI 50