Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria za dereva, polisi barabarani — 2

WIKI iliyopita nilisema Sheria ya Barabarani- The Road Traffic Act [CAP 168 R.E. 2002] imeweka wajibu kwa kila mtumiaji wa barabara, na kuweka adhabu kwa  mtu yeyote ambaye hatazifuata au...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Polisi yajipanga kukamata wavunjaji Wa Sheria Za Barabarani

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku magari ya abiria kubeba abiria kupita uwezo wake na kuonya kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria za usalama barabarani

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera -Bulimba amesema wamejipanga kufanya operesheni kali nchi nzima ya kukamata madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani.

Msemaji wa Jeshi la Polisi Advera John Bulimba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu operesheni ya kuwakamata madereva wote watakaozidisha...

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

5 years ago

CCM Blog

TUNATAKA MABADILIKO SHERIA YA USALAMA BARABARANI.....!

Usalama-2

1. KUDHIBITI Mwendokasi (Speed) kwa kuweka alama za mwendo kikomo maeneo yenye halaiki, kama vile sokoni, mashuleni, na mijini; na kuweka tafsiri sahihi ya maana ya maeneo ya makazi.

2. Kuwafanya wote dereva na abiria wa Pikipiki avae Kofia ngumu (helmet), ili abiria asiyevaa kofia na ipo apigwe faini yeye mwenyewe;

3. Kuwafanya abiria wote kwenye gari wafunge mikanda (seat belts) na sio wa siti za mbele tu. Kwani ajali zinapotokea abiria wote wanapata madhara. Sheria itamke wazi kuwa abiria...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wataka sheria za usalama barabarani kuzingatiwa

BAADHI ya washindi wa pikipiki kutoka promosheni ya Jishindie Bodaboda inayoendeshwa na Kampuni ya Vodacom wamehimiza umuhimu wa vyombo vinavyohusika na usalama barabarani kuchukua hatua za makusudi kuimarisha usalama ili...

 

11 years ago

GPL

POLISI AKOMAA NA DEREVA BODABODA

Askari Polisi akimnyang'anya ufunguo mwendesha bodaboda aliyekuwa amembeba abiria asiye na kofia ngumu 'helmet' eneo la Ubungo Mataa jijini Dar es Salaam jambo ambalo ni hatari kutokana na msongamano mkubwa wa magari eneo hilo. (PICHA NA MAKONGORO OGING' / GPL)

 

10 years ago

Michuzi

Utii wa Sheria kwa Madereva utapunguza ajali za Barabarani

Madereva hapa nchini wametakiwa kufuata sheria ya matumizi bora ya barabara ili kuepusha madhara yanayosababisha kupoteza maisha ya watu,ulemavu wa kudumu na upotevu wa mali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa mkoani Arusha,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uagizaji wa magari nchini ya Be Forward Tanzania,Daniel Mtaalam amesema njia hiyo ndio suluhu za ajali zinazotokea mara kwa mara.
Amesema wao kama wadau wa...

 

9 years ago

Michuzi

USALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE


  Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango  yenye ujumbe maalum unaohusu  kuhamasisha  Usalama barabarani  na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo  Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mshambuliaji wa timu ya Simba,Hassan Mgosi akijaribu...

 

11 years ago

Michuzi

MABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Miaka ya nyuma ilikuwa Tajiri mwenye Basi akitaka kuajiri Dereva Swali la Msingi iliuweze kuajiariwa alikuwa anauliza kama Umewahi kuendesha wapi na wapi Ukitaja UDA kazi unapata haraka sana Tofauti na sasahivi madereva wa uda wamekuwa hawana sifa kwani tunashudia wanavyo endesha hovyo magari hayo Barabarani na hawaheshimu kabisa taratibu za uendeshaji.Ni jana usiku tu tumeona moja ya gari hilo likiwa mtaroni kutokana na uzembe wa madereva hao,sasa na asubuhi ya leo tunaona basi lingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani