Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHETTA MZEE WA”SHIKOLOBO” KUBONGA NA WATEJA WA VODACOM ”LIVE”

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya “Bonga na Staa” inayowapa fursa wateja wa kampuni hiyo kuongea moja kwa moja”LIVE” na mtu mashuhuri wanaompenda ambapo wiki hii mashabiki wa mwanamuziki wa kizazi kipya wa bongo fleva Nurdin Billal”Shetta”watapata nafasi hiyo.Ili kujiunga na huduma hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNDI LA”WAKALI SISI” LATIMKA NA MILIONI 5 ZA SHINDANO LA DANCE100% 2014

Kikundi cha The WT cha jijini Dar es Salaam kilichoshinda nafasi ya pili katika fainali ya shindano la Dance 100% 2014 likionesha umahiri wao wa kudansi katika fainali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam.Ambapo kundi la”WAKALI SISI”toka kiwalani jijini liliibuka na ushindi huo na kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 toka kwa wadhamini wakuu wa shindano...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAJA NA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU”‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiongea  na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya ”SHINDA NA KABUMBU”inayolenga kuwawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki kwa kutuma neno SOKA kwenda namba 15725 ambapo mteja atakuwa akiulizwa maswali mbalimbali kwa njia ya ujumbe kuhusiana na maswala ya soka na kuweza kujishindia fedha...

 

10 years ago

Michuzi

PROF J AFUNIKA TAMASHA LA "VODACOM MAISHA NI MURUA COCO BEACH”

Gwiji la Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa J. akiwapagawisha mashabiki waliofika katika Ufukwe wa Bahari Coco Beach kushuhudia Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika jijini Dar es Salaam mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015  jana.
Wasanii wa Kundi la Wanaume Family wakitoa burudani kali wakati wa Tamasha la Wazi la”Vodacom Maisha ni Murua” lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach mahususi kwa wateja wa kampuni hiyo katika kuukaribisha Mwaka 2015...

 

9 years ago

Bongo5

Shetta kubonga na wateja wa Vodacom ‘LIVE’

Mashabiki wa mwanamuziki wa kizazi kipya wa bongo fleva Nurdin Billal alimaarufu kama Shetta watapata fursa ya kubonga naye Live Kutokana na kuzinduliwa kwa huduma mpya ya ‘Bonga na Star’ iliyozinduliwa leo na Vodacom Tanzania mahususi kwa wateja wake. Shetta (katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na kupata fursa ya kwanza ya kuongea moja […]

 

10 years ago

GPL

WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM‏

Humudini Abdulhussen Ofisa Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha Tanzania (kushoto) akihakiki moja ya namba za simu anazoonyeshwa kwenye kompyuta mpakato na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) na Ofisa Masoko wa kampuni hiyo Prestin Lyatonga (kulia) wakati wa droo ya pili ya shindano la “Shinda na Kabumbu” inayowawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”‏

Maneja mauzo wa Airtel Kigoma Philip Nkupama (kushoto) akimzawadia shilingi million moja, Bwana Luwi Saulo Karunda kutoka Kigoma baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kulia)  akimzawadia shilingi million tatu Habibu Mwella Freuzi   (kushoto), shilingi million tatu, baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya...

 

10 years ago

GPL

“NINA TATIZO LA MGONGO”

Stori: Imelda Mtema na Denis Mtima/UWAZI
INASIKITISHA! Mtoto Seif Sudi Seif, 15, (pichani), wa Shule ya Msingi Hedenzeri, Tanga analia kwa uchungu akitaka kusaidiwa ili aweze kutimiza ndoto zake kutokana na tatizo lake la kushindwa kutembea kutokana na kuumwa mgongo. Mtoto Seif Sudi Seif akishindwa kutembea kutokana na tatizo la mgongo. Mama wa mtoto huyo, Fatuma Hemed aliliambia gazeti hili akiwa nyumbani kwa shemeji yake...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani