Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shetta kubonga na wateja wa Vodacom ‘LIVE’

Mashabiki wa mwanamuziki wa kizazi kipya wa bongo fleva Nurdin Billal alimaarufu kama Shetta watapata fursa ya kubonga naye Live Kutokana na kuzinduliwa kwa huduma mpya ya ‘Bonga na Star’ iliyozinduliwa leo na Vodacom Tanzania mahususi kwa wateja wake. Shetta (katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na kupata fursa ya kwanza ya kuongea moja […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHETTA MZEE WA”SHIKOLOBO” KUBONGA NA WATEJA WA VODACOM ”LIVE”

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya “Bonga na Staa” inayowapa fursa wateja wa kampuni hiyo kuongea moja kwa moja”LIVE” na mtu mashuhuri wanaompenda ambapo wiki hii mashabiki wa mwanamuziki wa kizazi kipya wa bongo fleva Nurdin Billal”Shetta”watapata nafasi hiyo.Ili kujiunga na huduma hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wateja wa Safaricom na Vodacom kunufaika

Mamilioni ya wateja wanaotumia huduma za M-Pesa katika nchi za Tanzania na Kenya sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa mipakani

 

11 years ago

Michuzi

Wateja Vodacom kusajiliwa kielektroniki

Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen(katikati)akitangaza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usajili wa nambari za wateja wa kielektroniki jijini Dar es salaam. kushoto ni Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja Harriet Lwakatare na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliana Kwa wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Tofauti na utaratibu wa kawaida wa usajili unaotumia zaidi ya siku kumi na tano, mfumo huo unakamilisha zoezi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Vodacom yawaangukia wateja wa M- Pesa

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom, imewaomba radhi wateja wake wanaotumia huduma ya M - Pesa kutokana na hitilafu za kiufundi zilizosababisha kusimama kwa huduma hiyo kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

GPL

WATEJA VODACOM KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI‏

Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen(katikati)akitangaza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usajili wa nambari za wateja wa kielektroniki jijini Dar es salaam. kushoto ni Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja Harriet Lwakatare na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliana Kwa wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Tofauti na utaratibu wa kawaida wa usajili unaotumia...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM KUPERUZI INTANETI BURE

Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania. Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA MAALUM KWA WATEJA WA VODACOM

Huduma ya Intaneti ya Vodacom imekuwa na hitilafu tangu asubuhi ya jumapili tarehe 23 februari 2020. Hii ni kutokana na kukatika kwa mkonga wa faiba ulioko baharini, upande wa Msumbiji ambao umechukua muda kurekebishika kutokana na mvua kali kwenye bahari ya Hindi.
Tumepata suluhisho la muda mfupi kutoka Seacom ambao ni washirika wetu wakuu watatupatia msaada kuhakikisha tunarejesha huduma hii kwa haraka iwezekanavyo.
Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza kwa wateja wetu na tungependa kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

WATEJA WA VODACOM WANUFAIKA NA SEMINA YA KIBIASHARA

Baadhi ya wateja wa kubwa na wadogo wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Leon Munyeti,wakati wa semina ya kibiashara kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwenye biashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Daud Kabalika ambaye ni Mteja wa Vodacom Tanzania (kulia) akimuuliza swali Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Nixon...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja

MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani