Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA MAALUM KWA WATEJA WA VODACOM

Huduma ya Intaneti ya Vodacom imekuwa na hitilafu tangu asubuhi ya jumapili tarehe 23 februari 2020. Hii ni kutokana na kukatika kwa mkonga wa faiba ulioko baharini, upande wa Msumbiji ambao umechukua muda kurekebishika kutokana na mvua kali kwenye bahari ya Hindi.
Tumepata suluhisho la muda mfupi kutoka Seacom ambao ni washirika wetu wakuu watatupatia msaada kuhakikisha tunarejesha huduma hii kwa haraka iwezekanavyo.
Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza kwa wateja wetu na tungependa kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom na mapinduzi ya huduma kwa wateja

MWISHONI mwa miaka ya 1990, Tanzania iliingia katika orodha ya nchi zinazotumia mawasiliano ya simu ya mkononi. Katika miaka hiyo, huduma ya simu za mkononi ilionekana ni ya wachache sana,...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaanzisha "Zogo" kwa Wateja wake

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,akifafanua jambo wakati akitangaza huduma mpya ya 'Zogo' inayoyawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa gharama nafuu.Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#. Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya'Zogo' ambayo itawawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MAKURU AFUNGUA MAFUNZO MAALUM YA HUDUMA KWA WATEJA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA.

 Watumishi wa Kada mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania waliohudhuria mafunzo ya Huduma kwa wateja ili kuweza kuwajengea ujuzi na ufanisi katika kazi mahakamani. Mhe. Jaji Crescencia Makuru, Jaji Mfawidhi Kanda ya Dodoma, akifungua rasmi mafunzo maalumu ya Huduma kwa Wateja kwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania, leo mkoani Dodoma. Mhe. Jaji Crescencia Makuru, Jaji Mfawidhi Kanda ya Dodoma, (aliyeketi wa pili toka kushoto), Nurdin Ndimbe, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mahakama ya Tanzania, (wa...

 

10 years ago

StarTV

Airtel yazindua ofa maalum kwa wateja.

Na Lilian Mtono

Dar es Salaam

 

Kampuni ya simu za mkononi ya airtel imezindua ofa maalumu ya simu, inayoenda bega kwa bega na kuwazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa sikukuu za krismas na mwaka mpya.

 

Ofa hii itajumuisha simu za kisasa kwa bei nafuu pamoja, vifurushi vya muda wa maongezi na internet.

 

Uzinduzi wa ofa unakuja ukiwa ni sehemu ya mpango wa airtel wa kutoa huduma bora zaidi na kuwawezesha wateja wake kufaidika hasa kwenye kipindi hiki cha sikukuu.

 

 

Chini ya...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kuwezesha wateja wake kwa Kutusua Mapene

Shindano la Tusua mapene na Vodacom  linaloendelea kote nchini, linawawezesha watumiaji wa mtandao wa Vodacom kuweza kujishindia kitita cha milioni 10 kila wiki na wengine waliobaki watajishindia zawadi ndogo ndogo. Hili ni shindano lilioanza mwaka 2017, na kuendelea kuwanufaisha wateja wa Vodacom nchini. 
Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Unaponunua tiketi, moja kwa moja unaingia...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam

Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.   Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani