Shibuda aumbuka
WAKATI mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA) akidai kuwa hajawahi kueleimishwa kuhusu kundi la UKAWA, Tanzania Daima Jumatano limebaini ni mwongo. Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Nassari aumbuka bungeni
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Waziri Ghasia aumbuka
SIKU chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (Tamisemi), Hawa Ghasia, kusema kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe...
11 years ago
GPLBABY MADAHA AUMBUKA
9 years ago
GPLJUSTIN BIEBER AUMBUKA JUKWAANI
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Shibuda ‘ajifukuza’ CHADEMA
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kikijipanga wakuchukulia hatua wabunge wake waliosaliti msimamo wa Kamati Kuu na kuhudhuria vikao vya Bunge la Katiba, Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda...
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Shibuda akataliwa Tadea
Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Tadea Wilaya ya Nyasa, Joachim Mwingila, amesema hawataki Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda ajiunge na chama hicho.
Akizungumza Dar es Salaam jana alisema, Shibuda ni mamluki anayetumwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenda kuvivuruga vyama vya upinzani.
“Shibuda ametangaza kwamba, mwakani hataki kugombea ubunge kupitia Chadema baada ya kusema hivyo akadai atagombea kupitia chama...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Shibuda ajipalia makaa
KAULI ya Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda (CHADEMA), kwamba amekipa talaka chama hicho akikitaka kitafute wagombea wengine majimbo ya Maswa Mashariki na Magharibi, imeendelea kumponza. Safari hii, Mwenyekiti wa...
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Shibuda asulubiwa jimboni
MBUNGE wa Maswa Mashariki, Silvester Kasulumbai, (Chadema), amewaomba msamaha wananchi wa jimbo la Maswa Magharibi kwa kuwashawishi wamchague, John Shibuda kuwa mbunge wao kwenye uchaguzi mkuu uliopita akidhani atabadilika na...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Shibuda ajifananisha na Messi, Ronaldo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema kwamba hajakihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo bali amekosana na mfumo wa utumishi wa ndani ya chama hicho.