Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIGONGO APONGEZWA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo(katikati) akiwa na wanahabari wa kituo cha Voice of America (VOA) nchini Marekani. MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Amani, Ijumaa, Risasi Jumamosi na Championi, Eric Shigongo usiku wa Jumatano iliyopita alifanya mahojiano na kituo cha Voice of America (VOA) nchini Marekani na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Salim apongezwa

>Siku moja baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim kusema kuwa hana mpango na hafikirii tena kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, wasomi na wanasiasa wamezungumzia kauli hiyo wakisema ni ya kishujaa inayofaa kuigwa na viongozi  wengine.

 

9 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa maabara

KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.

 

10 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa hotuba

Rais Jakaya Kikwete.HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete wakati analihutubia taifa kupitia wazee na wakazi wa Dar es Salaam juzi, imepongezwa sambamba na hatua kadhaa alizochukua dhidi ya sakata la Akaunti ya Escrow.

 

11 years ago

GPL

JB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE

BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi. Msanii maarufu wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’. JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe, hongera sana, Mungu...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APONGEZWA

Bw. Stanley Bergman akiteta jambo na Balozi Manongi wanaonekana pia wageni waalikwa waliojitokeza kwa wingi kwenye hafla hiyo. Rais na Mwanzilishi wa MCW, Bw. Eddie Bergman akielezea historia ya Taasisi hiyo ambayo aliianzisha ( 1999) akatumia fursa hiyo kutoa shukrani zake kwa wadau , wafadhili na marafiki mbalimbali ambao wameendelea kuiwezesha Taasisi hiyo na hatimaye kupitia kwayo kusaidia jamii katika maeneo mbalimbali na uwezeshaji wa vijana. Bw. Stanley Bergman, ...

 

11 years ago

Habarileo

Mama Salma apongezwa Lindi

UONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Lindi, umempongeza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) anayewakilisha wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete kutokana na kazi nzuri anazofanya katika kutimiza majukumu yake.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa Umoja wa Mataifa

UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa wakimbizi 162,156 wa Burundi.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa kupatanisha Zanzibar

Rais Jakaya KikweteKAMATI ya Baraza la Wawakilishi ya Katiba na Utawala Bora, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumaliza mgogoro wa kisiasa na kuimarika kwa amani na utulivu chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

 

9 years ago

Habarileo

Slaa apongezwa, akingiwa kifua

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amepongezwa kwa hotuba yake mbele ya waandishi wa habari juzi Dar es Salaam huku wanaomshambulia wakitakiwa waache na kama hawatafanya hivyo basi watajitokeza watu na kumsemea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani