Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE HAJAKOSEA, NDIVYO WALIVYO WABONGO!

ZUWENA Mohamed, ni mdada anayefanya vizuri katika muziki wa mduara, ingawa pia anajulikana katika jamii ya watu wa filamu, ambako ni maarufu sana kwa jina la Shilole. Shilole ana nyimbo kadhaa zinazomfanya kuwa mmoja kati ya wasanii wa mduara wanaopata shoo nyingi kwa sasa, huku kibao chake cha Nakomaa na Jiji kikiwa katika nafasi ya kwanza kati ya zinazofanya vizuri. Anazo nyimbo zingine pia, kama Paka la Baa, Dudu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hivi Ndivyo Staa Diamond Akiwa na Mama Tiffah Pamoja na Dada Zake Walivyo Sherekea BOXING DAY

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama motto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen.

Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka  fukwe za mbali.

Jionee Picha

diamond2342

diaomond82

Diamond na Zari

zari8934

Diamond na Zari

zari334

Diamond na Zari

diamond772 diamond232 zari8923

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Kapombe hajakosea Azam

Baada ya kuwapo kwa taarifa za uhakika za  beki Shomari Kapombe kujiunga Azam FC, kocha wa zamani wa Taifa Stars ametetea uamuzi wa mchezaji huyo kuwa amefanya uamuzi sahihi na muda mwafaka.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

Bongo5

Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)

Licha ya kuwa Shilole amefanikiwa zaidi kwenye muziki, lakini ameweka wazi kuwa hajaitupa kabisa fani yake ya uigizaji ambayo alianza nayo kabla ya muziki. Akizungumza kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm wakati akitambulisha wimbo wake mpya Dec.15, amesema kuwa bado anajipanga na atakuja kutoa filamu yake mpya siku za usoni. “Saizi nimejikita sana […]

 

10 years ago

Michuzi

JOHSTONE NA NOELA WALIVYO MEREMETA

Johstone Frank Maunda akimvisha pete mkewe kipenzi Noela Julian Kaigwa katika ibada takatifu iliyofanyika Agosti 23, 2014 katika Kanisa la MT. Albano Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Coco Beach. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAHIMIZWA KUJIVUNIA VIVUTIO WALIVYO NAVYO



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (katikati) akisoma kibao kinachotoa maelezo kuhusu Michoro ya Miambani wakati alipotembelea kituo cha Michoro ya Miambani cha Kolo Kondoa, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Malikale Bw. Revocatus Bugumba na kushoto kwake ni Bw. Zuberi Mabie ambaye ndiye Mkuu wa Kituo hicho.
katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kushoto) akizungumzia umuhimu wa kuhifadhi michoro inayopatikana katika eneo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani