Shilole: Igunga Wanataka Nikagombee Ubunge
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kuwa ni yake ya ya kugombea ubunge jimbo la Igunga , Tabora nyumbani alipozailwa bado ipo pale pale japo anahofaia maisha yake yanaweza kuwa hatarini.
Shilole alieleza kuwa amepokea simu nyingi kutoka Igunga zinazomtaka ajitose kuwania nafasi hiyo, lakini bado yupo njia panda.
“Unajua siasa ni ngumu mimi bado nipo kwenye mjadala wa kugombea na hii ni baada ya kuona watu wanataka kuongozwa, lakini bado...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL17 Feb
SHILOLE ALIPOMTEMBELEA MAMA YAKE MLEZI IGUNGA, TABORA
11 years ago
GPLSHILOLE, MADEE, QUEEN DARLEEN WALIVYOWADATISHA WANA IGUNGA VALENTINE'S DAY
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Shilole atamani ubunge 2015
STAA wa muziki wa mduara anayefanya vizuri, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema anatarajia kugombea ubunge katika jimbo analotoka la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi wa mwaka 2015. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu
9 years ago
Habarileo02 Nov
‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Lupita: Wazazi wanataka niolewe
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.
Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.
“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...