Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lupita: Wazazi wanataka niolewe

Lupita-8NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.

Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.

“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini mastaa. Akizungumza na Uwazi, Wolper alisema, amefikia uamuzi huo kwa sababu ana uchungu moyoni unaotokana na dhana waliyonayo wanaume wa Kitanzania juu yao, wakiamini kuwa ni wahuni tu hivyo kuwashusha thamani. “Unajua Mtanzania anamchukulia staa kama chombo cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu

Waziri wa fedha nchini Ugiriki ametoa taarifa siku moja kabla ya kuandaliwa kwa kura ya maoni juu ya mpango wa kulipa deni lake.

 

9 years ago

Habarileo

‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wananchi wanataka mtumishi si mtukufu

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ametangaza sifa za mgombea ubunge, atakayerithi jimbo lililoachwa wazi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa. Kabla ya kifo chake, Dk Mgimwa alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga, wilayani Iringa mkoani Iringa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole: Igunga Wanataka Nikagombee Ubunge

Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kuwa ni  yake ya ya kugombea ubunge jimbo la Igunga , Tabora nyumbani alipozailwa bado ipo pale pale japo anahofaia maisha yake yanaweza kuwa hatarini.

Shilole alieleza kuwa amepokea simu nyingi kutoka Igunga zinazomtaka ajitose kuwania nafasi hiyo, lakini bado yupo njia panda.

“Unajua siasa ni ngumu mimi bado nipo kwenye mjadala wa kugombea na hii ni baada ya kuona watu wanataka kuongozwa, lakini bado...

 

9 years ago

GPL

RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!

 Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’. Mayasa Mariwata
Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za binadamu wasiomtakia mema. Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wanataka maisha bora si maadhimisho

LEO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, ambapo sherehe zake zitafanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. CCM iliundwa Februari 5, mwaka 1977 chini...

 

11 years ago

GPL

WASTARA: WANATAKA KUNIOA ILI WANITUMIE

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya kunitumia tu. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kama mwanamke amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa kumfariji lakini kinachomchanganya...

 

11 years ago

GPL

SNURA: WABAYA WANGU WANATAKA KUNISHUSHA

Stori: Mayasa Mariwata
STAA aliyeliteka soko la mduara kwa kibao chake cha Majanga, Snura Mushi amesema watu wenye chuki na yeye wamepanga njama za kumshusha kwenye chati kutokana na maendeleo yake. Snura Mushi. Akipiga stori na paparazi wetu juzi, Snura alisema: “Nashangaa sana ninapofanya jambo zuri halafu watu wanaligeuza kuwa baya ili nichafuke jina na kunipunguzia mvuto kwa mashabiki wangu.” Chanzo cha yote ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani