RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!
![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8arF783wczZ5Kp7e0epAlJSBJslC6daDQsDb3JWp78cBYuvC0geb2PtsCoVE37EvHYBP-bwzidRW11YOX-ccqKu/rayc61.png?width=650)
 Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’. Mayasa Mariwata Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za binadamu wasiomtakia mema. Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBtevHgQitXTJ2jSfj8RAmTYr6tpHAdJNzHlZyw989dYiFUo*5pl6rUfAUwfluNEGLOyS9IGISUEuraEd*mU6-oY/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
"Wanataka kuniua", Adai Biti
10 years ago
Habarileo03 Oct
'Kuna Wazanzibari wanataka kuvunja Muungano'
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ametoa ufafanuzi wa aina mbili ya Wazanzibari.
9 years ago
Bongo510 Sep
Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee — Ray C
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
Mwananchi10 May
MAKALA: Vinyozi: Kuna watu huja kuiba nywele za wateja
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Watu Insta
![Ray](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/RAY32.png)
Ray
Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram.
“Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta?
Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako ..(life is all about the money.)”
Nadhani Ujumbe umefika.
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Coronavirus: Kuna uwezekano mkubwa wa watu nusu bilioni kuwa maskini
10 years ago
Bongo531 Jul
Cpwaa: Kuna umuhimu wa kurudisha ile original Bongo Fleva, watu wanaigana sana