SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA
![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBtevHgQitXTJ2jSfj8RAmTYr6tpHAdJNzHlZyw989dYiFUo*5pl6rUfAUwfluNEGLOyS9IGISUEuraEd*mU6-oY/shilole.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8arF783wczZ5Kp7e0epAlJSBJslC6daDQsDb3JWp78cBYuvC0geb2PtsCoVE37EvHYBP-bwzidRW11YOX-ccqKu/rayc61.png?width=650)
RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!
11 years ago
Mwananchi10 May
MAKALA: Vinyozi: Kuna watu huja kuiba nywele za wateja
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Shilole Awataka Watu Wamuache Afanye Yake
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole ‘Shishi Bybee’ amewataka watu wamuache afanye kile anachokitaka kwenye maisha yake na sio kumpagia aishi vipi.
Shishi Bybee aliyasema hayo mara baada ya baadhi ya watu kumshambulia kwa maneno baada ya kuweka picha picha akiwa yupo kwenye bwawa la kuogelea.
“Yaani watu mnapenda kunipa raha sana mimi mwenywe nimejikubali na mimi nipo swimming mlitaka nivae dela??? Nioge nalo kwa hiyo tunapangiana na maisha ya nyumban pia lol! Kila mtu na...
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Coronavirus: Kuna uwezekano mkubwa wa watu nusu bilioni kuwa maskini
10 years ago
Bongo531 Jul
Cpwaa: Kuna umuhimu wa kurudisha ile original Bongo Fleva, watu wanaigana sana
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Virusi vya corona: Kuna tahadhari kwamba maelfu ya watu huenda wakapata matatizo ya mapafu
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Atsede Nguse: Manusura wa shambulio la tindikali asema 'Kuna watu wengi wazuri duniani kuliko wabaya'
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/W8k9GghxLBsmobvpHU2b0LzeFrTgzkMxdN0cbGWvzLZ3fPVJuzROXMSxbDe-vaUEpKlhVJwsXIqVD5tVoIhhBlA5h44atDnI/IMG20141114WA0001.jpg?width=650)
BOZI: WASANII WENZANGU WALITAKA KUNIUA