Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shilole Awataka Watu Wamuache Afanye Yake

Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole ‘Shishi Bybee’ amewataka watu wamuache afanye kile anachokitaka kwenye maisha yake na sio kumpagia aishi vipi.

Shishi Bybee aliyasema hayo mara baada ya baadhi ya watu kumshambulia kwa maneno baada ya kuweka picha picha akiwa yupo kwenye bwawa la kuogelea.

“Yaani watu mnapenda kunipa raha sana mimi mwenywe nimejikubali na mimi nipo swimming mlitaka nivae dela??? Nioge nalo kwa hiyo tunapangiana na maisha ya nyumban pia lol! Kila mtu na...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Awashukia Wanaomtukana, Awataka Wampe Pesa!!!

“Hivi mashabiki zangu niwaulize swali!??? Hivi unapom-follow mtu ili uwe unamtukana Tuuùu kila akipost picha yake?? Au unam-follow ili upate kuona anafanya nini?? Katika kazi , kiukweli mimi nakelekwa sana na baadhi ya mashabiki zangu naona kama wakuwa sio wazalendo kabisaaà kila ufanyalo yeye kwake anaona baya tu acheni roho za kwanini! Ukiona mtu kafanya vizuri msifie tu na kama unaona hajakufurahisha mwambie tu kwa uzuri kwani matusi hayajengi! “

Shilole aliendelea;

“Mimi kama msanii...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AWAVAA WANAOPONDA PETE YAKE

Na Shani Ramadhani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewavaa baadhi ya watu wanaoponda kitendo cha yeye kukubali kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siku nyingi, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa maelezo kuwa ni kama maigizo kwani ndoa hakuna. Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akionyesha pete aliyovishwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. ...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AZINDUA VIDEO YAKE MPYA

Red carpet.   Shilole katika red carpet.…

 

11 years ago

GPL

SHILOLE ALIPOMTEMBELEA MAMA YAKE MLEZI IGUNGA, TABORA

Msanii Zuwena Mohammed 'Shilole' Februari 13, mwaka huu alimtembelea mama yake mlezi aitwaye Hamisa anayeishi Igunga Mjini mkoani Tabora alipokwenda na wasanii wenzake akina Madee na Queen Darleen kwa ajili ya shoo ya Siku ya Wapendanao. (Video na Denis Mtima / GPL, Igunga)

 

5 years ago

CCM Blog

CORONA:'PAPA AWATAKA WATU KUTOKUBALI KUSHINDWA NA UOGA'


Papa Francis amewataka watu kutosalimu amri kwa uoga wa virusi vya corona, na kuwataka kuwa "wajumbe wa uhai wakati wa kifo".
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki alizungumza wakati wa sherehe za pasaka Jumamosi, katika kanisa la St Peter's Basilica ambalo lilikuwa na watu wachache.
Waumini wa Kikatoliki bilioni 1.3 kote duniani wana fursa ya kufuatilia ibada ya moja kwa moja mtandaoni.
Marufuku ya watu kutokutoka majumbani bado inaendelezwa katika maeneo mbalimbali nchini Italia ambako...

 

9 years ago

Bongo Movies

Shilole Atoboa Sababu ya Kuuza Nyumba Yake Aliyokua Anajenga Kimara

Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha ya nyumba yake ambayo alikua bado anaijenga. Caption ya picha hiyo ilikua inasomeka hivi, “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu”.

Eneo ambalo alilokua anajenga nyumba hiyo ni Kimara jijini Dar es Salaam lakini Shilole amesema kwamba ameuza nyumba hiyo ambayo ilikua bado haijaisha vizuri.

Akiongea na millardayo.com Shilole ametoa sababu za kuuza nyumba hiyo kama hivi,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Papa awataka watu 'kutokubali kushindwa na uoga'

Sherehe za Pasaka mwaka huu zinafanyika huku dunia ikiwa katikati ya janga la virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani