Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOZI: WASANII WENZANGU WALITAKA KUNIUA

Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa ‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini. Akizungumza machache na paparazi wetu akiwa nyumbani kwake anapougulia maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bozi alisema, anaamini amerogwa na wasanii wenzake wasiopenda maendeleo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Diamond: Nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa, siwaoni wasanii wenzangu hata Ally simuoni

Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa. Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa […]

 

9 years ago

GPL

RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!

 Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’. Mayasa Mariwata
Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za binadamu wasiomtakia mema. Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

WILLIAM MUSHI: Mke wangu alitaka kuniua

KUNA usemi unaosema ‘ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni’, hivi ndivyo ilivyotokea kwani huwezi kutarajia kuona ama kusikia mwanamke aliyebeba ujauzito kwa tabu na kuzaa kwa uchungu akatenda ukatili huu....

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa walitaka Bunge kuiwajibisha Serikali

>Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 

9 years ago

Michuzi

EAGT DODOMA WALITAKA TAMASHA LA SHUKRANI



  Mwenyekiti  wa Kamati ya maandalizi ya tamasha la kumshukuru mungu kwa amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo, kuhusu maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar na kuwahusisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za kiroho kutoka ndani ya nje ya nchi. Kushoto ni Mratibu wa tamasha hilo, Khamis Pembe.

 KANISA la Evangelistic...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kagame: Raia wa Rwanda walitaka wenyewe

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametetea uamuzi wa taifa hilo kuandaa kura ya maoni kuhusu muhula wa rais akisema lilikuwa wazo la Wanyarwanda.

 

9 years ago

GPL

BOZI, ALLY NIPISHE WAMWAGANA

Mayasa Mariwata
Kwisha habari! Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ na mwandani wake ambaye ni Mbongo-Fleva, Ally Nipishe, wamemwagana kwa kile kilichodaiwa kuwa, jamaa huyo anapenda kulelewa. Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Kwa mujibu wa chanzo kilichopo karibu ya wawili hao, Ally Nipishe alikuwa akiishi kwa Bozi maeneo ya Kinondoni-Mkwajuni, Dar ambapo hivi karibuni wametifuana baada ya Bozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani