Diamond: Nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa, siwaoni wasanii wenzangu hata Ally simuoni
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa. Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/W8k9GghxLBsmobvpHU2b0LzeFrTgzkMxdN0cbGWvzLZ3fPVJuzROXMSxbDe-vaUEpKlhVJwsXIqVD5tVoIhhBlA5h44atDnI/IMG20141114WA0001.jpg?width=650)
BOZI: WASANII WENZANGU WALITAKA KUNIUA
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Pogba: Man United nilikuwa kama mapumzikoni
TURIN, ITALIA
KIUNGO wa klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa, Paul Pogba, amedai kwamba kwa sasa anapiga kazi kubwa kwenye klabu hiyo tofauti na wakati anaitumikia Manchester United.
Mchezaji huyo amesema wakati yupo katika klabu ya Manchester United ilikuwa kama yupo mapumzikoni, lakini Juventus anapiga kazi kubwa.
Pogba aliwahi kuitumikia klabu ya Manchester United mwaka 2012 ambapo alipata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza mara tatu kikiwa chini ya kocha Sir Alex...
9 years ago
Bongo516 Oct
Diamond adai kolabo yake na Ne-Yo imewatisha wasanii wa Nigeria
10 years ago
Bongo522 Jun
Diamond asitisha kupokea maombi ya collabo za wasanii wa Nigeria
9 years ago
Bongo523 Oct
Nawashauri vijana wenzangu waoe mapema kama mimi — Black Rhino
9 years ago
Bongo512 Oct
Vanessa Mdee awashauri wasanii kuwekeza kwenye muziki kama yeye, Diamond na Ommy Dimpoz
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Iyobo: Hata Kama Aunt Amenizidi Umri
DANSA wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale...
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Hemed: Nitatoa albamu hata kama hazilipi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MWIGIZAJI Hemed Suleiman ‘PHD’ anatarajia kuachia albamu aliyoiita Virgo mapema mwakani tofauti na wasanii wengine wanaodai albamu hazilipi.
Albamu hiyo itakuwa ya kwanza tangu alipoingia katika muziki na anatarajia kuachia wimbo wa ‘Itabaki story’ ili kuwapa mashabiki wake alichokiandaa katika albamu hiyo.
“Itabaki story’ ni wimbo ambao upo ndani ya albamu hiyo pia nitaachia nyimbo nyingine mbili kama utambulisho wa albamu yangu ya kwanza toka nimeanza muziki,”...