Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"Wanataka kuniua", Adai Biti

Tendai Biti mwanachama mashuhuri wa upinzani Zimbabwe anasema bomu lilirushwa kwa makaazi yake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!

 Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’. Mayasa Mariwata
Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za binadamu wasiomtakia mema. Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali...

 

9 years ago

Bongo5

Suma Mnazareti adai kujua mashabiki wanataka muziki upi ndio mtihani mkubwa

Suma Mnazareti anaamini kuwa mtihani mkubwa wanaokumbana nao wasanii wengi ni kujua muziki upi Watanzania wanautaka pamoja na muda gani. Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa hicho pia ni kitu kinachomsumbua. “Nafikiri sasa hivi kuna aina fulani ya muziki ambao upo pia ndio maana muda mrefu ilinibidi nikae kimya. Ilikuwa inaniuma kwa sababu hata watu wananiambia […]

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao...

 

10 years ago

GPL

BOZI: WASANII WENZANGU WALITAKA KUNIUA

Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amefunguka kuwa anaamini amepigwa ‘juju’ kutokana na kuugua ugonjwa ambao haukutambulika hospitalini. Akizungumza machache na paparazi wetu akiwa nyumbani kwake anapougulia maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bozi alisema, anaamini amerogwa na wasanii wenzake wasiopenda maendeleo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

WILLIAM MUSHI: Mke wangu alitaka kuniua

KUNA usemi unaosema ‘ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni’, hivi ndivyo ilivyotokea kwani huwezi kutarajia kuona ama kusikia mwanamke aliyebeba ujauzito kwa tabu na kuzaa kwa uchungu akatenda ukatili huu....

 

9 years ago

Bongo5

Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee — Ray C

Sio mara ya kwanza kwa Rehema Chalamila a.k.a Ray C kulalamika kuhusu kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia ili kumsaidia kuondokana na addiction ya dawa za kulevya, lakini safari hii ametumia ukurasa wake wa Instagram kulalamika kuwa ameonewa tena japo hakuweka wazi alichofanyiwa. Ray C alianza kupost picha akiwa kwenye gari na kuadika; “NIKIWA […]

 

9 years ago

Mtanzania

Lupita: Wazazi wanataka niolewe

Lupita-8NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.

Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.

“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...

 

9 years ago

Habarileo

‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu

Waziri wa fedha nchini Ugiriki ametoa taarifa siku moja kabla ya kuandaliwa kwa kura ya maoni juu ya mpango wa kulipa deni lake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani