Kinana- Wananchi wanataka mtumishi si mtukufu
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ametangaza sifa za mgombea ubunge, atakayerithi jimbo lililoachwa wazi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa. Kabla ya kifo chake, Dk Mgimwa alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga, wilayani Iringa mkoani Iringa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Apr
'Wananchi waulizwe wanataka Serikali ngapi'
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ezekiah Oluoch amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuchukua hatua ya kuwasilisha muswada katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hati ya dharura ili kuifanyia marekebisho Sheria ya Marekebisho ya Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Wananchi wanataka maji sio ngumi za wanasiasa
SIASA ni uchumi, Siasa ni kilimo, hizi zilikuwa ni kauli mbiu ambazo hayati Mwalimu Nyerere alizianzisha ili kuonesha kuwa huwezi kutenganisha siasa na maendeleo. Siasa ni kila kitu katika maisha...
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Utafiti: Wananchi wanataka gesi isaidie afya, elimu
10 years ago
MichuziWANANCHI WANATAKA USIMAMIZI WA FEDHA ZAO KATIKA KUWALETEA MAENDELEO YA KIUCHUMI -CAG
10 years ago
Vijimambo05 Jan
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wananchi wazuia msafara wa Kinana
NA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Wananchi wamsimamisha Kinana awasikilize
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kutoka Kata ya Karema kwenda mjini Mpanda, mkoani Katavi ulijikuta ukisimamishwa baada ya wananchi katika vijiji mbalimbali kufunga njia wakiwa na mabango wakitaka asikilize shida zao.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wasomi, wananchi wamshukia Kinana
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Wananchi wamshtaki Pinda kwa Kinana
NA ELIYA MBONEA, NGORONGORO
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anadaiwa kutoa ahadi hewa ya magunia 10 ya mahindi kwa kila kaya kwa mwaka kama njia mbadala ya kilimo cha kujikimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha.
Ahadi hiyo aliitoa Septemba 19, mwaka juzi, akiwa Endulen wilayani hapa, bila kuwapo kwa maandishi ya Serikali, hatua inayoligharimu Baraza la Wafugaji la Wilaya ya Ngorongoro kwa sasa mbele ya wananchi.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa...