WOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI
![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3BsuWbWVu8bNBKMlmv6ZaW-lEzSSMixQNKcvPlYNdf19aMSbwMuQhfyXCUInoUrWlm-6d5IChoxjrNb4I7lcBKk/wolper...jpg?width=650)
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini mastaa. Akizungumza na Uwazi, Wolper alisema, amefikia uamuzi huo kwa sababu ana uchungu moyoni unaotokana na dhana waliyonayo wanaume wa Kitanzania juu yao, wakiamini kuwa ni wahuni tu hivyo kuwashusha thamani. “Unajua Mtanzania anamchukulia staa kama chombo cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Walio nje ya nchi waonyeshe kwa vitendo watasaidia vipi nchi
TUMESHAZOEA maneno ya wanasiasa wanapopiga kampeni za kutafuta kuchaguliwa na wananchi. Wengi wao wanakuja na ahadi kemkem kama njia ya kutaka kuwavutia watu kuwa wao ndio wanafaa katika nafasi hiyo...
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.
“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4zquq6ya86CW-lc3txy2ENRC4woiHb31mIuZty3k-s7LYjFte7imLkEmlta3StuZl7nRHnG3lIyf01ElID7DlW5/Wolper.jpg)
WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H3yK9HZUKjw/U_8Tw9CETlI/AAAAAAAGKq4/Zdf2fqmuGMk/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...
10 years ago
GPLMKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog28 Jun
Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Lupita: Wazazi wanataka niolewe
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.
Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.
“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...
9 years ago
Bongo510 Nov
Kwanini wasanii wetu siku hizi wanawatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania? — Jacqueline Wolper
![wolper](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/wolper-300x194.jpg)
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kushare na followers wake wa Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha, kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video models wa nje ya Tanzania na kuwaacha wa hapa.
Hiki ndicho alichoandika Wolper;
“Jamani wapenzi wangu naombeni niwaulize ktu kimoja …kuna madada zetu wengi hapa Tanzania na wakaka wengi wazuri nawakivaa au kuvalishwa wanapendeza ila Tatizo uwezo tuu…lengo la haya maneno ni kuuliza na muwatag pia hawa wanaofanya...