Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: WANATAKA KUNIOA ILI WANITUMIE

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya kunitumia tu. Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kama mwanamke amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa kumfariji lakini kinachomchanganya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA: NAMPA BOND NAFASI YA KUNIOA

Brighton Masalu WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1JyQIBc

 

10 years ago

Vijimambo

Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...


Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...

 

10 years ago

GPL

WEMA: MUME WA ZARI ANATAKA KUNIOA

Stori: MUSA MATEJA/Risasi
MAMBO hadharani! Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa, Risasi Jumamosi lina full stori.…

 

9 years ago

Mtanzania

Lupita: Wazazi wanataka niolewe

Lupita-8NEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Kenya ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amesema wazazi wake wanamshawishi aolewe ili wapate wajukuu.

Lupita kwa sasa anafanya vizuri katika filamu nchini Marekani na amefanikiwa kuchukua tuzo za Oscar mapema mwaka huu, hivyo baada ya kupata tuzo hiyo alitembelea nchini Kenya na kukutana na familia yake ambapo ilimtaka aolewe.

“Nilipokuwa nchini Kenya wiki chache zilizopita nilikutana na familia yangu ambapo miaka mingi tulikuwa...

 

9 years ago

Habarileo

‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’

MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki:Wakopeshaji wanataka kutudhulumu

Waziri wa fedha nchini Ugiriki ametoa taarifa siku moja kabla ya kuandaliwa kwa kura ya maoni juu ya mpango wa kulipa deni lake.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wananchi wanataka mtumishi si mtukufu

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ametangaza sifa za mgombea ubunge, atakayerithi jimbo lililoachwa wazi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa. Kabla ya kifo chake, Dk Mgimwa alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga, wilayani Iringa mkoani Iringa.

 

9 years ago

GPL

RAY C: KUNA WATU WANATAKA KUNIUA!

 Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’. Mayasa Mariwata
Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za binadamu wasiomtakia mema. Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wanataka maisha bora si maadhimisho

LEO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, ambapo sherehe zake zitafanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. CCM iliundwa Februari 5, mwaka 1977 chini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani