Shinda Home Wifi na Airtel Tanzania
JISHINDIE #HomeWifi yenye 40 GB za BURE unayoweza kutumia bundle moja pamoja na washkaji zako wanne POPOTE nchini. Tufuate katika ukurasa wetu wa Facebook, Twitter na Instagram uweze kujishindia kifaa hiki cha kipekee! Facebook Twitter Instagram
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Airtel yaja na ‘Wifi ya nyumbani’
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua huduma ya kwanza ya kibunifu nchini ijulikanayo kama ‘Home Wifi With Bundle Share’ (Wifi ya nyumbani na kifurushi cha pamoja). Huduma...
10 years ago
Michuzi
Airtel yatangaza ofa kabambe - Nunua Airtel HOME Wi-Fi na upate nyingine ya BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua kifaa cha HOME Wi-Fi, chenye uwezo wa kuunganisha zaidi ya vifaa...
10 years ago
GPL
AIRTEL YATANGAZA OFA KABAMBE NUNUA AIRTEL HOME WI-FI NA UPATE NYINGINE YA BURE
Ofisa uhusiano na Matukio wa Airtel, Bi Dangio Kaniki akionyesha kifaa cha HOME Wi-Fi wakati wa kutangaza ofa kabambe ya Sabasaba itakayo wawezesha watanzania kupata kifaa cha bure cha ziada pindi watapokinunua katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba. Pichani, Afisa Masoko wa Airtel ,Ndevonaeli Eliakimu. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza ofa kabambe katika viwanja vya Sabasaba itakayomwezesha mteja kununua...
10 years ago
Michuzi
Airtel yaja na Promosheni Mpya ya "shinda gari na Yatosha Zaidi"

10 years ago
Michuzi
Airtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa kifurushi kimoja tu


10 years ago
GPL
AIRTEL YAZINDUA HOME WI-FI, HUDUMA YA INTERNET KUUNGANISHA FAMILIA NZIMA KWA KIFURUSHI KIMOJA TU
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G....
10 years ago
GPL
MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE
Waandishi wetu
Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...
10 years ago
GPL
AUNT AWAPATANISHA WEMA, WIFI YAKE
Na Imelda Mtema
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kazi ya ziada kuhakikisha shoga yake, Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan wanapatana. Wema Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa Petit Man, Esma Khan. Chanzo chetu kilichokaribu na mastaa hao kilieleza kuwa, awali Wema na Esma walikuwa hawaivi...
11 years ago
Michuzi20 Feb
Dar Es Salaam To Have Buses With WIFI Internet
Tanzania’s commercial capital Dar es Salaam will receive by the end of 2014 3,000 brand-new buses that will feature WIFI internet connection.
Transport firm UDA that recently introduced 200 new buses to serve Dar es Salaam transport needs will deploy the buses.
It is estimated that 4 million people depends on public transport in Dar es Salaam, the vast majority of which rely on bus transport. According to Dar-es-Salaam Regional Transport Licensing Authority (DRTLA) there are about 7,000...

It is estimated that 4 million people depends on public transport in Dar es Salaam, the vast majority of which rely on bus transport. According to Dar-es-Salaam Regional Transport Licensing Authority (DRTLA) there are about 7,000...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania