Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Airtel yaja na ‘Wifi ya nyumbani’

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua huduma ya kwanza ya kibunifu nchini ijulikanayo kama ‘Home Wifi With Bundle Share’ (Wifi ya nyumbani na kifurushi cha pamoja). Huduma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Shinda Home Wifi na Airtel Tanzania

JISHINDIE #HomeWifi yenye 40 GB za BURE unayoweza kutumia bundle moja pamoja na washkaji zako wanne POPOTE nchini. Tufuate katika ukurasa wetu wa Facebook, Twitter na Instagram uweze kujishindia kifaa hiki cha kipekee! Facebook Twitter Instagram

 

9 years ago

GPL

AIRTEL KENYA YAJA NA OFA KABAMBE YA ONE AIRTEL‏

Nairobi, Oktoba 21, 2015 – KAMPUNI inayoongoza katika mawasiliano ya simu, katika nchi 20 za Afrika na Asia, Airtel, imeboresha huduma yake ya roaming services kwa kuanzisha malipo ya mlingano yenye nafuu kubwa kwa wateja wake wanaosafiri katika bara la Afrika kutokea Kenya. Huduma hiyo ya ‘One Airtel’ inamwezesha mteja mgeni kutoka nje kutumia SIMkadi yake kupata huduma mbalimbali za Airtel kwa bei ya nchi husika huku...

 

11 years ago

Michuzi

PUKU YAJA NYUMBANI RASMI



Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUKU,Bwa.Meck Mbwana akizungumza kuhusiana na bidhaa hiyo,mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar. Pichani wa pili kulia ni Mwanamitindo Millen Magese ambaye ni balozi wa bidhaa ya PUKU akiwa na waanzilishi wa bidhaa hiyo ya PUKU mara baada kuzungumza na Wanahabari jijini Dar leo

===============

WATUMIAJI wa simu za kisasa za Smart Phone wametakiwa kutumia chaji za Puku kuchajia simu zao ili kujihakikishia usalama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yaja na ‘Switch on’

KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel, imezindua huduma kabambe ya Intaneti itakayojulikana kama ‘Switch on’. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo juzi, Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania,...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAJA NA OFA YA IPHONE S5

Meneja Uhusiano wa Airtel Bitrice Singano (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari jinsi wateja wa mtandao huo watakavyofaidika mara baada ya kununua simu hiyo.
Meneja Masoko wa Airtel Prisical Tembo akionyesha muonekano wa simu hiyo ulivyo huku akishuhudiwa na meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Beatrice Singano aliyesimama kulia.…
...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAJA NA HUDUMA MPYA YA KUTOA PUNGUZO KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (katika), akionyesha bango linaloonyesha namna ya kujiunga na huduma hiyo.  Kulia ni Maneja Masoko wa kampuni hiyo, Ravi Kant, akishuhudia zoezi hilo huku Mkurugenzi wa Masoko, Levi Nyakundi, akiwa ameshikilia bango hilo. Singano akitoa mfano kwa kutumia simu yake namna ya kujiunga na huduma hiyo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaja na Promosheni Mpya ya "shinda gari na Yatosha Zaidi"

Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya (pili kulia) wakifunua moja wa Gari aina ya Toyota IST ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Promosheni mpya ya Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha wateja wa Airtel wanaotumia huduma ya Airtel Yatosha kujishindia zawadi ya Gari kupitia droo maalim itakayokuwa ikichezeshwa kila siku kwa muda wa miezi miwili,wateja watakaojiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yaja na 'Tourist pack' yashusha gharama za simu na Intaneti kwa Watalii

 Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Daressalaam  Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...

 

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE

Waandishi wetu
Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani