Shinikizo dhidi ya Rais wa CAR
Rais wa mpito Michel Djotodia, huenda akakabiliwa na shinikizo za kuanchia mamlaka kwenye mkutano wa viongozi wa kiafrika wanaokutana kujadili ghasia za kidini nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Rais wa mpito CAR ajiuzulu
Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati Michel Djotodia amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za vurugu za kidini
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Rais wa mpito aapishwa CAR
Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba Panza, ameapishwa katika sherehe maalum mjini Bangui.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M33QE3BiTbtw6I9PUKtpOLAdAyROWKtGSmyi6MefqdA1SxtYxmTxt6wOcAbhDdpJ-360um2YalynUk2e8v33fTz2/hypertension2.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)
WIKI hii tutazungumzia ugonjwa wa shinikizo la damu, au ambao wengi huuita presha na kitaalam huitwa Hypertension au High Blood Pressure. Ieleweke kuwa shinikizo la damu ni muhimu kwa ajili ya kusukuma damu katika sehemu zote za mwili, lakini shinikizo la damu la juu huweza kuleta matatizo na madhara makubwa kwa mwanadamu. Shinikizo la damu kwa kawaida husababishwa na kuongezeka msukumo wa damu katika kuta za mishipa ya damu,...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSOFbZulOXpcPP5o6qrwv9ZNbDczN5dqRTZmjzw89xaXpxhyU91Z0N3iqx9GNW4x9RVApX5ictROc1zonGunANdV/oSLEEPHYPERTENSIONfacebook.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-3
Leo nitaelezea mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na kujihadhari nayo.SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-3Â MBO hayo ni uvutaji sigara, unene (visceral obesity) yaani unene wa sehemu za tumbo, unywaji pombe, upungufu wa madini ya potassium, upungufu wa vitamin D, kurithi, umri mkubwa, chumvi na madini ya sodium kwa ujumla, ongezeko la kemikali kwenye figo (renin) na kushindwa kufanya kazi kichocheo cha Insulin....
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8knEY9ia*lIFwT-qa7wEc6w7ZknT-xzJto5FtSZTVJ7ZCXD4BSjLwiZftme35Vx9Xl*f9sIfWVFCtvH8FMXBavb/Dollarphotoclub_35970997.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION) - 4
Leo nitaelezea mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na matibabu yake.Kama shinikizo lako la damu liko juu, ni muhimu kumuona daktari ili ufanyiwe uchunguzi wa kiafya. Kipimo kimoja cha shinikizo la damu hakimaanishi kupatikana au kuugua ugonjwa huo, inabidi upimwe zaidi ya mara mbili. Pima kwa kifaa maalum cha kupimia shinikizo la damu kinachoitwa Sphygmomanometer angalau mara tatu tofauti kwa wiki ili...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-gJiCE87YYqs3TqZ7K1iJV3rY8xmz*S1X-ALP4SCu6xWT-ClAlPxp7sQ3DT930y6949FQ*HFI2sQIj9K0m4-u5I*XShMkj36/hypertension2.jpg?width=650)
SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)-2
Shinikizo la damu limegawanyika katika makundi mawili, aina ya kwanza ambalo kitaalam huitwa Primary au Essential Hypertension. Aina hii ya shinikizo la damu huwapata asilimia 90 hadi 95 ya wagonjwa, huku sababu zikiwa hazijulikani suala linalomaanisha kuwa wagonjwa huwa hawana sababu za wazi zinazosababisha tatizo hilo. Kesi zinazobakia za shinikizo la damu ambazo ni asilimia 5-10 za wagonjwa husababishwa na shinikizo la damu...
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Rais wa CAR atahadharisha kuhusu uchaguzi
Kaimu Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba-Panza, ameonya kuwa maadui wa amani wanajaribu kuzuia uchaguzi mkuu nchini humo usifanyike mwezi Desemba.
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Wabunge CAR kumchagua Rais wa mpito
Wabunge katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wameanza mkutano wa kumchagua Rais wa mpito, huku ghasia zikiendelea kati ya waisilamu na wakristo
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Shinikizo Somalia iwaachie wanahabari
Walitiwa mbaroni baada ya kituo cha habari Universal TV kupeperusha mjadala wenye utata unaohusu majeshi ya Kenya na Ethiopia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania