Shitambala kutokwenda mahakamani
ALIYEKUWA mgombea wa ubunge Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sambwee Shitambala amempongeza mshindi wa nafasi hiyo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi na kubainisha kuwa hana mpango wa kwenda mahakamani kupinga matokeo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Ni mpambano kati ya Shitambala na Mbilinyi
ZIKIWA zimebaki siku takribani 35 kupiga kura, ushindani katika Jimbo la Mbeya Mjini umebaki kati
Felix Mwakyembe
9 years ago
TheCitizen07 Oct
Shitambala -Sugu race talking point in Mbeya
9 years ago
MichuziMgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Aadhibiwa kwa kutokwenda haja chooni
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Zitto ahoji Malecela kutokwenda Afrika Kusini
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amehoji Wizara ya Mambo ya Nje kwa kushindwa kuratibu safari ya Waziri Mkuu Msaafu, John Malecela, kuambatana na Rais katika Misa ya kumuaga...
10 years ago
Habarileo23 Jan
RC acharuka kidato cha kwanza kutokwenda shule
MKUU wa Mkoa wa Rukwa Stella Manyanya ameagiza kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mkoani humo kufanya hivyo mara moja huku akisema suala hilo ni la lazima na si hiyari tena.
9 years ago
MichuziSOPHIA SIMBA AMNADI MGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA MBEYA MJINI SAMBWEE SHITAMBALA.
5 years ago
MichuziTASAC YATAKA VYOMBO AMBAVYO HAVIJAKAGULIWA KUTOKWENDA MAJINI KUFANYA KAZI
SHIRIKAla Uwakala wa Meli Tanzania Mkoani Tanga (TASAC) limetoa wito kwa vyombo vya usafiri vinavyofanya kazi zake majiniambayo havijakaguliwa na kupata cheti cha ubora kutokwenda majinikufanya shughuli zake.
Agizohilo lilitolewa leo na Afisa Mfawidhi wa Shirika hilo Mkoani
Tanga Captain Christopher Shalua wakati akizungumza na mwandishi wa habari ofisini kwake.
Alisemakwamba wao wanatoa wito kwa vyombo vya majini kwa kipindi hiki cha masika vyombo ambavyo havijakaguliwa na kupata cheti cha...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya Corona: Julius Malema aonya wanachi kutokwenda kanisani