Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASAC YATAKA VYOMBO AMBAVYO HAVIJAKAGULIWA KUTOKWENDA MAJINI KUFANYA KAZI


SHIRIKAla Uwakala wa Meli Tanzania Mkoani Tanga (TASAC) limetoa wito kwa vyombo vya usafiri vinavyofanya kazi zake majiniambayo havijakaguliwa na kupata cheti cha ubora kutokwenda majinikufanya shughuli zake.

Agizohilo lilitolewa leo na Afisa Mfawidhi wa Shirika hilo Mkoani
Tanga Captain Christopher Shalua wakati akizungumza na mwandishi wa habari ofisini kwake.

Alisemakwamba wao wanatoa wito kwa vyombo vya majini kwa kipindi hiki cha masika vyombo ambavyo havijakaguliwa na kupata cheti cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kenya yataka Stars icheze majini

Utata mkubwa ulitokea jana mchana mjini Machakos baada ya vigogo wa Shirikisho la Soka la Kenya (KFF) kutaka mechi dhidi ya Kilimanjaro Stars ichezwe kwenye uwanja huo uliojaa maji.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yazuia vyombo vya usafiri wa majini

MAMLAKA ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imevizuia kutoa huduma kwa muda usiojulikana vyombo vyote vya usafirishaji wa majini vya mkoani hapa hadi hapo vitakapokaguliwa.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI KWA WATU WANAOHUSIKA NA KUENDESHA VITUO VYA KULELEA WATOTO AMBAVYO HAVIJASAJILIWA KISHERIA.

NaSylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea kufanya uchunguzi wa watu wanaohusika na kuendesha vituo vya kulelea watoto ambavyo havijasajiliwa na vinaendeshwa katika maeneo ambayo ni hatarishi kwa watoto. Kamanda MISIIME amesema Polisi iligundua vituo vitatu katika eneo la Nkuhungu Dodoma Mjini baada ya kupokea taarifa kwamba kuna nyumba ambazo...

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen  “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;

“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.

Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.

Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kamati yataka Blatter asimamishwe kazi

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza rais wa shirikisho la soka duniani FIFA asimamishwe kazi kwa siku tisini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani