Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, KULA NANASI KWAHITAJI NAFASI EEH!

Najua nikisema sana nitao nekana nina mdomo wakati kila kiumbe kina mdomo, lakini kwa vile kuwapasha ndiyo hobi yangu acha niwachane live simuogopi mtu. Kwa mtindo huu wanawake wachache watabakia katika ndoa zao.
Nikisema nachonga sana, sasa sijui nachonga sturi au meza, hivi kweli wewe mwanamke unamwacha mumeo hata kucha au kunyoa mpaka nyumba ndogo? Aaah sipendi miye, hebu mtunze mumeo apendeze huyo anayetaka kukuibia akose...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA: USIMPE NAFASI MUMEO AWE KARIBU NA NDUGUZO!

Kabla sijaanza kutiririka na mada niliyokuandalia, napenda kuwapa pole walioathirika kwa mvua iliyonyesha wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.Baada ya kutoa pole, narejea kwenye jambo ambalo nimeona ni muhimu nikaliongelea ili kuwaamsha baadhi ya shoga zetu ambao wanawapa uhuru dada au wadogo zao wa kike kuwa karibu mno  na waume zao. Ni kweli kwamba, mtu anapooa sehemu ni vyema akawa na ukaribu na ndugu wa mkewe kama kaka,...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

GPL

MTOTO: EEH MUNGU NISAIDIE

Stori:  Maria Halimoja na Rhoda Josiah
“Eeh Mungu sikia kilio changu unisaidie!” Ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye ameteseka kwa muda wa miaka minne (siku 1440) akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo. Mtoto Salum Kassim akiwa na maumivu makali ya kuvimba tumbo yaliyosababiswa na ugonjwa wa moyo. Akizungumza kwa maumivu makali na wanahabari wetu nyumbani kwao...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jaco Beatz X Malisam — Nerea Remix (Eeh Mola)

Hii ni video mpya ya remix ya wimbo wa ‘Nerea’ ambao uliimbwa na Sauti Sol, kwa sasa umerudiwa na Jaco Beatz pamoja na Malisam wameuita jina la “Eeh Mola” hii ni mahususi kabisa na “Uchaguzi huu” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

 

11 years ago

GPL

SHANGINGI MSTAAFU: JAMANI EEH, KUTAFUTA SAWA LAKINI KAZI NA DAWA

NINA imani kwa uwezo wa Manani wote ni wazima, binafsi namshukuru Karima. Waswahili wana msemo wao usemao maneno mengi hayajengi  bali vitendo ndivyo vinavyojenga.
Kwa maana hiyo leo sitaki kusema maneno mengi bila ya kuwapa watu kile kitu roho inapenda.
Jamani leo nawazungumzia wanaume ambao siku zote wanakuwa bize katika kutafuta maisha  na kushindwa hata kukaa na familia zao kubadilishana fikra na mitazamo mbalimbali....

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE

Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani