SHANGINGI MSTAAFU: JAMANI EEH, KUTAFUTA SAWA LAKINI KAZI NA DAWA
![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDMmLd4p6nrr5NVmjeAVkW4KYfUPDk3Q3OUOTPVjsDs-5YP1UsjDheTA*VtIc5wlbdpC9hQ8uQGdGcxUe0olUZF2/nosexcouple.jpg?width=550)
NINA imani kwa uwezo wa Manani wote ni wazima, binafsi namshukuru Karima. Waswahili wana msemo wao usemao maneno mengi hayajengi bali vitendo ndivyo vinavyojenga. Kwa maana hiyo leo sitaki kusema maneno mengi bila ya kuwapa watu kile kitu roho inapenda. Jamani leo nawazungumzia wanaume ambao siku zote wanakuwa bize katika kutafuta maisha na kushindwa hata kukaa na familia zao kubadilishana fikra na mitazamo mbalimbali....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Katika hili JK sawa, lakini…
NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kujadili na kupeana changamoto za kispoti, lengo likiwa ni kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu ya michezo. Bila shaka mu wazima...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Mapenzi ya mdomo sawa, lakini unajua kansa ya koo?
MAPENZI kwa njia ya mdomo yamekuwa yakizidi kuongezeka siku hadi siku na kwa kasi kubwa hasa miongoni mwa vijana.
Mapenzi haya au kwa lugha nyingine ngono ya kinywa (oral sex) ni ile tabia ya wahusika kunyonyana ndimi na sehemu nyingine nyeti. Wengi wanaamini ni uhodari wa kisasa wakati huu wa sayansi na teknolojia.
Lakini pamoja na wengi kuitumia njia hii kukamilisha furaha yao ya mapenzi, tabia hii huchangia wahusika kupata magonjwa mbalimbali, hususan ugonjwa mbaya wa kansa ya koo.
KUNDI...
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Haki haikutendeka Dodoma, sawa, lakini ni wapi, lini, ilitendeka?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekamilisha mchakato wake wa kumtafuta mwanachama atakayekiwakilisha
Jenerali Ulimwengu
11 years ago
Mwananchi30 Apr
DIRA: Muungano huu sawa, lakini ujibu maswali 7 ya Jaji Warioba
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Kuoa wake wanne sawa, lakini mpe mkeo haki yake!
Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu wote ambao mmekuwa pamoja katika mada zangu ninazotoa kila wiki, kwa wale wagonjwa poleni sana.
Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu nimepata malalamiko kutoka kwa msomaji wangu aliyeamua kunywa sumu baada ya kuona mume wake ameoa bila kumwambia na kusubiri kuambiwa na jirani yake aliyempelekea umbeya.
Hivi wanaume mnadhani ni sahihi kuoa bila kuwaandaa wake zenu? Je, dini inasemaje katika suala hili, hakika kama wewe ni muumini wa dini inayoruhusu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuVgm29gHmcQJpuCUY04Z7cmtrwjM*xErSG*LV1fcr-IAIq*ba5kRD*BhAd-qdTNoqn*cjJTQwZvepdYm-SE49-3/mrembo.jpg?width=650)
SAWA UMZURI, LAKINI UNAJISIKIAJE UNAPOITWA JINA LA ‘CHA WOTE’?
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
WHO:Ni sawa kutumia dawa za 'Zmapp'
11 years ago
Mwananchi31 May
Nkamia: Kazi nyingi jamani lazima kugombea