Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nkamia: Kazi nyingi jamani lazima kugombea

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amewataka watu kutong’ang’ania kuwania uongozi kwani kuna kazi nyingi za kufanya mbali ya kuongoza katika klabu za Simba na Yanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

11 years ago

GPL

SHANGINGI MSTAAFU: JAMANI EEH, KUTAFUTA SAWA LAKINI KAZI NA DAWA

NINA imani kwa uwezo wa Manani wote ni wazima, binafsi namshukuru Karima. Waswahili wana msemo wao usemao maneno mengi hayajengi  bali vitendo ndivyo vinavyojenga.
Kwa maana hiyo leo sitaki kusema maneno mengi bila ya kuwapa watu kile kitu roho inapenda.
Jamani leo nawazungumzia wanaume ambao siku zote wanakuwa bize katika kutafuta maisha  na kushindwa hata kukaa na familia zao kubadilishana fikra na mitazamo mbalimbali....

 

9 years ago

BBCSwahili

Kufanya kazi kwa saa nyingi ni hatari

Utafiti umeeleza kuwa Watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi wako hatarini kupata kiharusi

 

10 years ago

Mwananchi

Mfugale: Mtu aliyeaga umaskini baada ya kazi nyingi za sulubu

Joseph Mfugale ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Peacok  ya jijini Dar es Salaam ambaye kwa sasa anamiliki mali za mabilioni ya fedha kutokana na shughuli za biashara.

 

10 years ago

Mwananchi

Nkamia akumbuka enzi za utangazaji

Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia, juzi alikonga nyoyo za watu pale alipoamua kukumbushia enzi zake za kutangaza mpira.

 

10 years ago

Mwananchi

Nkamia azishauri timu za majeshi

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema timu za majeshi ya Ulinzi na Usalama zitakuwa na nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika soka nchi endapo tu zitaungana na kutengeneza timu moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkamia: Nitayafuta, kufungia magazeti

VITISHO vya watendaji wa serikali kwa vyombo vya habari vimezidi kushika kasi, safari hii Naibu Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni, Juma Nkamia, akitishia kuvifungia au kuvifuta. Nkamia amebainisha kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kitwanga, Juma Nkamia wanena

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Juma Nkamia, amesema kuteuliwa kwake katika nafasi hiyo kunaonyesha jinsi Rais Jakaya Kikwete anavyothamini wanahabari kuwa wana upeo na wana uwezo wa kujisimamia.

 

11 years ago

TheCitizen

Reconcile with the media, Lowassa to Nkamia

The chairman of the Parliamentary Committee for Foreign Affairs, Security and Defence, Mr Edward Lowassa, has urged the ministry of Information, Culture, Youth and Sports to settle its recent misunderstanding with media practitioners in the country.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani