SAWA UMZURI, LAKINI UNAJISIKIAJE UNAPOITWA JINA LA ‘CHA WOTE’?
![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuVgm29gHmcQJpuCUY04Z7cmtrwjM*xErSG*LV1fcr-IAIq*ba5kRD*BhAd-qdTNoqn*cjJTQwZvepdYm-SE49-3/mrembo.jpg?width=650)
Niwiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi niko poa na kama ilivyo ada leo nimekuja na mada ambayo inawagusa wanawake kwa asilimia kubwa. Nazungumzia hii tabia ya baadhi ya wasichana kutumia uzuri wao vibaya kwa kuwapanga foleni wanaume bila kujali madhara yanayoweza kujitokeza. Wewe msomaji wangu utakuwa ni shahidi juu ya uwepo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Katika hili JK sawa, lakini…
NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kujadili na kupeana changamoto za kispoti, lengo likiwa ni kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu ya michezo. Bila shaka mu wazima...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Wagombea wote wanahaki sawa
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/23.jpg)
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mwanamume mwenye jina sawa na Taylor Swift
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Mapenzi ya mdomo sawa, lakini unajua kansa ya koo?
MAPENZI kwa njia ya mdomo yamekuwa yakizidi kuongezeka siku hadi siku na kwa kasi kubwa hasa miongoni mwa vijana.
Mapenzi haya au kwa lugha nyingine ngono ya kinywa (oral sex) ni ile tabia ya wahusika kunyonyana ndimi na sehemu nyingine nyeti. Wengi wanaamini ni uhodari wa kisasa wakati huu wa sayansi na teknolojia.
Lakini pamoja na wengi kuitumia njia hii kukamilisha furaha yao ya mapenzi, tabia hii huchangia wahusika kupata magonjwa mbalimbali, hususan ugonjwa mbaya wa kansa ya koo.
KUNDI...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Eti ni kweli binadamu wote ni sawa?
WALAU sasa iko wazi kwamba sio kila kitu kiko kama kinavyosemwa. Kuna upande wa nadharia na kuna upande wa uhalisia. Vitu ambavyo vipo kama vinavyotakiwa, vilipaswa kuwa kama inavyotakiwa na...
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Haki haikutendeka Dodoma, sawa, lakini ni wapi, lini, ilitendeka?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekamilisha mchakato wake wa kumtafuta mwanachama atakayekiwakilisha
Jenerali Ulimwengu
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Kuoa wake wanne sawa, lakini mpe mkeo haki yake!
Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu wote ambao mmekuwa pamoja katika mada zangu ninazotoa kila wiki, kwa wale wagonjwa poleni sana.
Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu nimepata malalamiko kutoka kwa msomaji wangu aliyeamua kunywa sumu baada ya kuona mume wake ameoa bila kumwambia na kusubiri kuambiwa na jirani yake aliyempelekea umbeya.
Hivi wanaume mnadhani ni sahihi kuoa bila kuwaandaa wake zenu? Je, dini inasemaje katika suala hili, hakika kama wewe ni muumini wa dini inayoruhusu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDMmLd4p6nrr5NVmjeAVkW4KYfUPDk3Q3OUOTPVjsDs-5YP1UsjDheTA*VtIc5wlbdpC9hQ8uQGdGcxUe0olUZF2/nosexcouple.jpg?width=550)
SHANGINGI MSTAAFU: JAMANI EEH, KUTAFUTA SAWA LAKINI KAZI NA DAWA