Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea wote wanahaki sawa

3

Mwenyekiti wa Taifa wa Shirikisho la vyuo vya Elimu ya juu Tanzania linaloundwa na wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM), Bi Zainabu Abdalah Issa akitoa tamko la umoja huo lililolenga kuwakumbusha wanachama wa chama hicho waliotangaza nia ya kuwania kuteuliwa kwenye nafasi ya Urais kuwa hakuna aliye maarufu au mwenye nguvu kuliko chama bali mgombea wa chama hicho atapatikana kwa mujibu wa taratibu na kanuni za chama na si vingenevyo.(Picha zote na Frank Mvungi-MAELEZO). 2 Mwenyekiti wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Eti ni kweli binadamu wote ni sawa?

WALAU sasa iko wazi kwamba sio kila kitu kiko kama kinavyosemwa. Kuna upande wa nadharia na kuna upande wa uhalisia. Vitu ambavyo vipo kama vinavyotakiwa, vilipaswa kuwa kama inavyotakiwa na...

 

10 years ago

GPL

SAWA UMZURI, LAKINI UNAJISIKIAJE UNAPOITWA JINA LA ‘CHA WOTE’?

Niwiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi niko poa na kama ilivyo ada leo nimekuja na mada ambayo inawagusa wanawake kwa asilimia kubwa. Nazungumzia hii tabia ya baadhi ya wasichana kutumia uzuri wao vibaya kwa kuwapanga foleni wanaume bila kujali madhara yanayoweza kujitokeza. Wewe msomaji wangu utakuwa ni shahidi juu ya uwepo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Tanzania imedhamiria kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote

Kaimu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mashauri kutoka Mahakama ya Tanzania Bw. John Kahyoza akiwaeleza waandishi wa (hawapo pichani) mikakati iliyoweka iliyowekwa na Mahakama ya Tanzania ili kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote na kwa wakati kwa vitendo, kwa kuhakikisha inapunguza muda wa mashauri kukaa mahakamani, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Mahakama ya Tanzania Bi. Mary Gwera. Picha na Hassan...

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48 za Elimu nchini.

 Mwenyekiti  wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi  vitabu kwa ajili ya kusaidia  shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini  Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF),...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wajiweka sawa

kovaJESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki, anaripoti Asifiwe George kutoka Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza kujitokeza, hasa katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Saly — Sawa

Screen-Shot-2015-11-09-at-7.25.53-PM

Video mpya ya Mwanadada Saly wimbo unaitwa “Sawa”. Video imeongozwa na Godfred

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani