SHOGA USITOE SIRI ZA MUMEO NJE UTAACHWA!
Ni siku nyingine ya Jumanne ambapo tunakutana katika safu yetu hii mahususi kwa kuelimishana na kukosoana kwa lengo la kuboresha uhusiano wa kimapenzi na wenza wetu.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nanyi kuhusu madhara ya kuchunguza simu ya mume, leo nataka kuzungumzia ‘topiki’ kuhusiana na wanawake wanaopenda kutoa siri za wapenzi au waume zao nje.
Nimeamua kuzungumzia ishu hiyo kwa sababu nimeshuhudia mara kadhaa wanawake wakiachwa, kisa kikiwa kuwaeleza wenzao mambo yao ya ndani.
Tabia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!
10 years ago
GPL
SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!
10 years ago
GPL
SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!
10 years ago
GPL
SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?
10 years ago
GPL
SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?
10 years ago
GPL
SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!
10 years ago
GPL
SHOGA: UKIMDHARAU MUMEO WENZAKO WATAMCHUKUA JUMLA
10 years ago
GPL
SHOGA: JIONGEZE ILI KUMPA RAHA MUMEO!
10 years ago
Vijimambo24 Mar
SHOGA: MFANYIE MASAJI MUMEO KUMUONDOA UCHOVU!

Shoga, baada ya kusema hayo ngoja nirejee kwenye mada yangu ya leo inayohusiana na kuwafanyia masaji waume zetu kwa lengo la...