Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, WIVU UKIZIDI UNAKUWA KERO!

Mmh! Nakuona mimacho imekutoka na kuangalia kama nitauanika ujinga unaofanya, leo ndiyo hukumu yako. Kumbe unajua matatizo yako kwa nini usiyaache mpaka umsubiri Anti Naa niyaseme. Jamani kona yenyewe ina nafasi ndogo, siwezi kusema yote kwa wakati mmoja, hebu acheni tabia chafu. Niwapeni siri za kudumu kwenye mapenzi na kukufanya ufurahie. Leo nataka tuangalie wivu katika mapenzi, wote tunajua bila wivu hakuna mapenzi. Lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA NI WIVU AU?

Staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan ‘Zari’.Stori: Erick EvaristHII ni ‘bad news’ kwa staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence, ameibuka na kumuita nyota huyo shoga, Ijumaa linakupa habari hii.ISHU ILIPOIBUKIA
King ambaye ana makazi yake pia nchini Afrika Kusini, amedaiwa kutoa kauli hiyo juzi, Jumatano kupitia mtandao wa Facebook akionesha...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; USIMKOMOE MUMEO KWA KERO ZA KAZINI KWAKO!

Shoga yangu, kwa kuwa siku za kupiga kura kumchagua rais, wabunge na madiwani zimekaribia naendelea kutoa rai kwa kila mmoja kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea ili Oktoba 25 ikifika muwachague viongozi bora. Leo shoga yangu nataka kuwazungumzia baadhi ya wenzetu wanaofanya mambo ndivyo sivyo kwa waume zao na kusababisha mifarakano ndani ya ndoa.Kawaida katika harakati za kutafuta riziki ambazo...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

5 years ago

BBCSwahili

'Unapozuiliwa kyohwaso [gereza] unakuwa sio binadamu tena'

Kuvuka mpaka kiharamu ni moja ya uhalifu ambayo adhabu yake ni kali sana Korea Kaskazini

 

5 years ago

Michuzi

NMB kuhakikisha Mkoa wa Songwe unakuwa kiuchumi kupitia wawekezaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji - Angela Kairuki amewata wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutumia fursa ya Mkoa wa Songwe kuwa lango la nchi za SADC kwa kwenda kuwekeza katika sekta mbalimbali zilizopo Mkoani humo hasa katika sekta ya Kilimo ili kuinua uchumi wa Mkoa huo na nchi kwa ujumla.
Angela alisema hayo jana wakati alipokuwa akizindua kongamano la uwekezaji Mkoa wa Songwe, lililofanyika katika kiwanja cha Vwawa Wilayani Mbozi. Aliongeza kuwa, Mkoa huo una fursa nyingi...

 

9 years ago

Mwananchi

Dawa ya Wivu

Mhariri langu  swali, litue kwako mezani, Ina hofu yangu hali, jibu liwe makini, Kimara wala si mbali, makazi yangu jijini, Dawa ya wivu ni nini, nijibuni wahisani.

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Acheni wivu

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wahandisi kuacha kuoneana wivu na kupeana kazi ili kudumisha uzalendo katika ujenzi wa miradi mbalimbali hususan ya barabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni wivu wa mapenzi au mfumodume?

Kama kuna matukio ambayo hayatasahaulika kirahisi miongoni mwa Watanzania wengi, ni matukio mawili yaliyohusishwa na wivu wa kimapenzi yaliyotokea Dar es Salaam mwaka 2013.

 

9 years ago

Mwananchi

Dawa ya wivu ni nini?

Nawauliza waganga, walio bara na pwani, Mikoba waliofunga, wakaeweka kwapani Wapigaji wamburuga, walo mitihani, Dawa ya moto ni mota, dawa ya wivu ninini?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani