Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


shukurano toka libeneke la jimmcarter.com

Napenda kutoa shukrani kwa uongozi wa Michuzi blog {BLOG YA JAMII} kwakile ambacho nimeweza kukipata kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 20 Niko Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha {AJTC} nachukua diploma ya utangazaji wa radio na Tv 
Ni moja ya watu ambao nilikuwa nikipenda sana kazi za michuzi blog nakutamani siku moja kuwa kama yeye. Nashukuru   Mungu Ndoto zimetimia sasa natambulika Arusha nzima, na  Uongozi wa chuo unanitumia kama mfano wa kuigwa kwa wanafunzi wengine...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI 1500 TOKA HAPA NCHINI NA 400 TOKA NJE YA NCHI YATARAJIWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA MWAKA 2015

 Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.  Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.  Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam. Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA ELIMU


www.elimu.co.tz

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA HABARIKA24

Habarika 24 ni blog inayokupa habari mbal mbali za kitafaifa, kimataifa, afya, mapishi, habari za kiingereza n.k
Hivyo ifungue sasa kupitiawww.habarika24.blogspot.com

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

introducing libeneke la habari5.com

TEMBELEA HAPA http://www.habari5.com/

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE LIPYA LA KIJANA NI KIONGOZI


Tembelea Libeneke jipya la Kijana ni Kiongozi kwa kubofya link hiyo.
http://www.kijananikiongozi.com/

 

11 years ago

Michuzi

introducing libeneke la Sweet Escape TZ

Sweet Escape Tz is an event planning consultancy with a focus on social events, while still maintaining a presence in the corporate event world.If you are looking for a fresh perspective and want to bring some sizzle to your corporate or social event, contact us to find out how we will wow your stakeholder,friends and family to generate results.
We put love and dedication into every single one of our events and deliver the highest degree of customized service.There is no small event for...

 

10 years ago

Michuzi

introducing libeneke jipya la monstergala

 

Ankal Michuzi, Salam nyingi na hongera sana. Katika kuendeleza libeneke, nami nimeona sina budi kuunga mkono juhudi za kukuza lugha yetu kwa njia hii. Naomba nitangaze blogu mpya ya kawaida lakini yenye mambo yanayovutia sana kusoma na kufahamu.
Blogu hii itajikita zaidi katika kuelezea mambo mbalimbali kwa muundo mwepesi na kwa Kiswahili ili kukuza uelewa wa mambo mengi katika jamii yetu ambayo yameachwa katika lugha ngumu za kisayansi na hivyo kuwanyima fursa watu wengi kuyafahamu...

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MSAADA WA KISHERIA LAFUNGULIWA

Watu wenye uhitaji wa msaada wa sheria sasa wanaweza kupata huduma hiyo kwa kuingia mtandaoni baada ya wakili mmoja Jijini Dar es Salaam kuanza kutoa huduma hiyo.
Wakili Emmanuel Augustino ameanza kuwafikia wahitaji wa msaada wa sheria kwa kutumia blog yake ya wakiliwangu.blogspot.com.
"Kupitia blog hii, tunatoa ushauri wa kisheria wa mambo yanayohusu mirathi, ununuzi au uuzaji wa ardhi, kesi za jinai na madai, kuanzisha kampuni na mambo mengine tofauti ya kisheria," alisema Wakili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani