Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE YA MSINGI MLIMANI YAUNGANISHWA NA MTANDAO WA INTANETI


Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Wilayani jijini Dar es Salaam wakijifunza somo la kompyuta baada ya kuunganishwa na mtandano wa Intaneti bure kwa msaada wa Vodacom Foundation wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika shuleni hapo leo na kuzinduliwa na Ofisa Mkuu wa Mtandao wa kampuni hiyo,Alec Mulonga(hayupo pichani).Vodacom imeanzisha mkakati wa kuleta mabadiliko kwa jamii ya Tanzania katika kupitia Teknolojia.
Ofisa Mkuu wa Mtandao wa Vodacom...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MLIMANI WAPATIWA MAFUNZO.

 Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani, Mariam Mrisho (kushoto) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa elimu kwa madereva wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam. Mwanaidi Khamis mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam (kushoto) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa elimu kwa madereva wakati wa kuadhimisha siku ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo na Huawei zatoa msaada wa Kompyuta 10 na huduma ya Intaneti kwa Shule ya msingi Chuda Mkoani Tanga

8

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akikabidhi msaada wa Kompyuta zenye intaneti ya bure ya Tigo kwa  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Chuda Mkoani Tanga Bw. Omari Masukuzi hiyo ni moja kati ya kompyuta 10 zilitolewa na kampuni ya Tigo pamoja na Huawei kwa shule hiyo. Wanaoshuhudia wa pili toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula, Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Huawei  Jin Liguo na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Abdallah Suleiman.

7

Wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi msaada wa moja ya Kompyuta kati ya(20)Mwalimu Mkuu wa shule ya...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

CHADEMA YATOA ONYO KUHUSU MPANGO WA KUKATA MAWASILIANO YA SIMU NA MTANDAO WA INTANETI

Chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA pamoja na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamesema kuwa upo mpango unaoandaliwa na chama cha mapinduzi kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha kuwa wanakata mawasiliano hasa ya mtandao kwa siku ya upigaji kura Tanzania,mpango ambao wamesema kuwa unasukwa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa hawana mawasiliano ya haraka kupenana habari za

 

10 years ago

Habarileo

Shule 250 za serikali kuunganishwa na intaneti

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imesaini mkataba na Kampuni za Mawasiliano kwa ajili ya kuziunganisha shule 250 za Serikali na intaneti pamoja na kuanzisha vituo 25 vya kuwafundishia walimu.

 

5 years ago

BBCSwahili

China Uighur: Wazuiliwa kwa kuwa na ndevu, kufunika uso na kutumia mtandao wa intaneti

Stakabadhi mpya zinaonesha "tena ushahidi mkubwa" kuhusu jinsi China inavyowakamata watu kwa misingi ya kidini katika eneo la Xinjiang.

 

9 years ago

Michuzi

SMILE COMMUNICATIONS YAPANUA HUDUMA MTANDAO WAKE WA INTANETI YA 4G LTE KUFIKIA MIJI SABA TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dr. Ally Simba akizungumza kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na kampuni ya Smile Communications Tanzania kutangaza upanuzi wa huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Moshi, Dodoma na Morogoro ikilenga kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya internet yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchiniMeneja Mkazi wa Smile Communications Tanzania, Bw. Eric Behner akizungumza kwenye hafla maalumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani