Shule 250 za serikali kuunganishwa na intaneti
SERIKALI kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imesaini mkataba na Kampuni za Mawasiliano kwa ajili ya kuziunganisha shule 250 za Serikali na intaneti pamoja na kuanzisha vituo 25 vya kuwafundishia walimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lQIJf8EwzTc/Vlwk0Xkw1gI/AAAAAAAIJJs/jJ3PKLYir4w/s72-c/001.MLIMANI.jpg)
SHULE YA MSINGI MLIMANI YAUNGANISHWA NA MTANDAO WA INTANETI
![](http://3.bp.blogspot.com/-lQIJf8EwzTc/Vlwk0Xkw1gI/AAAAAAAIJJs/jJ3PKLYir4w/s640/001.MLIMANI.jpg)
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mlimani iliyopo Wilayani jijini Dar es Salaam wakijifunza somo la kompyuta baada ya kuunganishwa na mtandano wa Intaneti bure kwa msaada wa Vodacom Foundation wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo uliofanyika shuleni hapo leo na kuzinduliwa na Ofisa Mkuu wa Mtandao wa kampuni hiyo,Alec Mulonga(hayupo pichani).Vodacom imeanzisha mkakati wa kuleta mabadiliko kwa jamii ya Tanzania katika kupitia Teknolojia.
![](http://2.bp.blogspot.com/-CdLpGtZ1Hks/Vlwk0RqvnwI/AAAAAAAIJJ0/pRCSR0Ub24I/s640/002.MLIMANI.jpg)
Ofisa Mkuu wa Mtandao wa Vodacom...
9 years ago
VijimamboTICS YAPANDA MITI 250 SHULE YA SEKONDARI KURASINI
10 years ago
Dewji Blog29 May
Tigo na Huawei zatoa msaada wa Kompyuta 10 na huduma ya Intaneti kwa Shule ya msingi Chuda Mkoani Tanga
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akikabidhi msaada wa Kompyuta zenye intaneti ya bure ya Tigo kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Chuda Mkoani Tanga Bw. Omari Masukuzi hiyo ni moja kati ya kompyuta 10 zilitolewa na kampuni ya Tigo pamoja na Huawei kwa shule hiyo. Wanaoshuhudia wa pili toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula, Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Huawei Jin Liguo na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Abdallah Suleiman.
Wanafunzi...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili
![](http://www.jukwaahuru.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG-20150314-WA0006-1200x545_c.jpg)
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!
Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Matumizi mabaya ya fedha za umma, serikali yapoteza bilioni 250/-
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba, wakati akitoa taarifa juu ya mwenendo na hatua za kisheria kwa viongozi wa umma wanaokiuka maadili.Katikati ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na kulia ni Ofisa Programu Dawati la Waangalizi Watendaji...
5 years ago
CCM BlogKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI BILIONI 250, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya kupokea...
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Familia kuunganishwa tena Korea
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Jamaa za Korea kuunganishwa tena leo