Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shy-Rose, Spika Zziwa kikaangoni tena

Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeitishwa tena, zamu hii jijini Nairobi, Kenya ambako litakutana kuanzia leo mchana, huku kukiwa na shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge 32 linalotaka kung’olewa kwa Spika wa Bunge hilo, Dk Margaret Zziwa na kuwajibishwa kwa mbunge kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala

Bunge la Afrika Mashariki limemsimamisha kwa siku 21 Spika wake, Dk Margaret Zziwa huku likifufua hoja ya kumwondoa kiongozi huyo madarakani ambayo iliwekwa kando Aprili 1, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

SPIKA MARGARET ZZIWA ASIMAMISHWA

HATIMAYE Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk. Margaret Zziwa (pichani) amesimamishwa wadhifa huo baada ya wabunge wa bunge hilo kumpigia kura. Apewa saa 24 kukabidhi ofisi ya bunge.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose akaangwa

HOJA binafsi ya kumjadili mbunge Shy-Rose Bhanji wa Tanzania ndani ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limeingia katika sura mpya baada bunge hilo kuahirishwa tena jana muda mfupi...

 

10 years ago

StarTV

Spika Zziwa ang’olewa rasmi.

Na Magesa Magesa

Arusha.

 

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.

 

Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Zziwa ataka miundombinu ijengwe

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) amezitaka Serikali za nchi wanachama kuharakisha ujenzi na uimarishaji wa miundombinu ya barabara na reli ili kuwaletea wananchi maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Spika Zziwa asimamishwa kwa siku 21

Margaret ZziwaBUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limepitisha makubaliano ya kumsimamisha Spika wa Bunge hilo, Margaret Nantongo Zziwa, hadi uchunguzi kuhusu mwenendo wake utakapokamilika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose awekwa Kiporo

HOJA binafsi ya kumuwajibisha  Mbunge wa Tanzania katika  bunge la Afrika Mashariki(EALA) Shy –Rose  Bhanji imewekwa kiporo  baada ya bunge hilo malizika mjini Kigali jana hadi litakapopitishwa tena. Suala la...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha

 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Zziwa huenda akang’olewa kwenye nafasi yake katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kinachofanyika jijini Arusha leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki

Bunge la Afrika Mashariki limemwondoa madarakani spika wake Margaret Nantongo Zziwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani