SIKIKA yakanusha tuhuma za Madiwani, halmashauri Kondoa Dodoma
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari jana Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Sikika yawagawa madiwani Kondoa
BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kondoa, wamejitokeza kupinga uamuzi uliofikiwa na Baraza la Madiwani wa kulifukuza Shirika la Sikika wilayani humo. Wakizungumza na gazeti hili hivi karibuni, madiwani...
11 years ago
Habarileo29 Jul
Sikika yafungiwa milango Kondoa
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Sikika limefukuzwa kufanya kazi zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutokana na kutuhumiwa kudhalilisha madiwani na watendaji kwa wananchi kwa kudai hawajasoma na hawawajibiki katika utendaji wao.
9 years ago
MichuziRC DODOMA AZINDUA BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA KONGWA
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Sikika yakanusha taarifa ya upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015
Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa #CyberCrimeBill.
Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.
Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.
Mkurugenzi wa Sikika, Irenei Kiria (kulia) picha ya Maktaba ya mtandao.
Sikika ilituma maoni ya pamoja ya...
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA MJI KONDOA KUTOA CHANJO ZOTE KWA MIFUGO
Idara ya Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji Kondoa imejipankuendelea kutoa chanjo ya magonjwa ya Mifugo kulingana na kalenda ya chanjo inavyoonyesha kwa mwaka mzima.
Hayo yalibainishwa na Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Mji Bi. Monica Kimario wakati wa utoaji wa chanjo ya ugonjwa wa Kimeta na Chambavu kwa mifugo ya kata ya Kingale.
“Nawasihi sana wafugaji wa Kata ya Kingale washiriki katika zoezi hili kwa kuleta mifugo yao katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya utoaji wa chanjo...
10 years ago
Habarileo12 Oct
NEC yakanusha tuhuma kuhusu BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema tuhuma zilizotolewa, zinazodai kuna uandikishaji wa wapiga kura kwa mashine za BVR, unaofanyika katika eneo la viwanda Mikocheni jijini Dar es Salaam, hazina ukweli.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi31 Jan
MTERA, KONDOA KASKAZINI NA KONDOA KUSINI : UKAWA IJIFUNGE MKANDA