Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sikika yafungiwa milango Kondoa

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Sikika limefukuzwa kufanya kazi zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutokana na kutuhumiwa kudhalilisha madiwani na watendaji kwa wananchi kwa kudai hawajasoma na hawawajibiki katika utendaji wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Sikika yawagawa madiwani Kondoa

BAADHI ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kondoa, wamejitokeza kupinga uamuzi uliofikiwa na Baraza la Madiwani wa kulifukuza Shirika la Sikika wilayani humo. Wakizungumza na gazeti hili hivi karibuni, madiwani...

 

11 years ago

Dewji Blog

SIKIKA yakanusha tuhuma za Madiwani, halmashauri Kondoa Dodoma

DSC_0148

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari jana Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014...

 

10 years ago

Mwananchi

MTERA, KONDOA KASKAZINI NA KONDOA KUSINI : UKAWA IJIFUNGE MKANDA

Jumatano iliyopita tuliangazia majimbo ya Dodoma Mjini, Bahi na Chilonwa. Leo tunaendelea kuchambua majimbo ya Mkoa wa Dodoma tukijikita kwenye majimbo ya Mtera, Kondoa Kaskazini na Kondoa Kusini. 

 

10 years ago

BBCSwahili

Gremio yafungiwa ubaguzi michezoni

Klabu maarufu ya soka nchini Brazili Gremio imefungiwa kushiriki mashindano makubwa kutokana na tuhuma za ubaguzi wa rangi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Redio yafungiwa Sudani kusini

Vikosi vya Usalama nchini Sudani Kusini vimefunga kituo cha redio ambacho kilikuwa kikiunga mkono mpango wa kumaliza mapigano

 

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona yafungiwa kusajili mpaka 2016

Shirikisho la soka duniani FIFA limeitupilia mbali rufaa ya klabu ya Barcelona usajili kwa kukiuka kanuni za usajili.

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya kusambaza mabati yafungiwa Dar

KAMPUNI ya usambazaji na uuzaji mabati Afrika Mashariki, Uni Metal East Africa Limited ya Dar es Salaam, imezuiwa isiuze wala kusambaza mabati, kwa muda usiojulikana, kwa sababu hayana ubora.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yafungiwa michuano ijayo AFCON

Timu ya Taifa ya Tunisia imefungiwa kushiriki michuano ijayo ya AFCON kwa kukaidi kuomba radhi

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi ya Muro yafungiwa kutoa huduma

Mamlaka ya  Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeyafungia mabasi ya Muro chini ya Kampuni ya Muro Investment kutoendelea na  safari zake za Dar-Mwanza na Dar-Arusha kutokana na kukiuka sheria za usalama na usafirishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani