Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku mbili hutumika kutafuta mahali pa kujisadia kwa mwaka

>Kuna mambo unaweza kudhani ni ya kawaida na kwamba hayana tatizo lolote, lakini yanapokukuta ndipo utabaini kilichokuwa kimejificha nyuma ya pazia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

AY aliweka ‘appointment ya kukutana na Dr Dre Marekani, wapanga mahali na siku lakini..

Ambwene Yesaya aka AY, hakwenda Marekani kushoot video ya ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti pekee, alitaka kukutana pia na producer mkongwe, Andre Romelle Young aka Dr Dre ambaye ni role model wake. “Nilijaribu kumtumia Sean Kingston, lakini ilishindikana,” AY ameliambia gazeti la Daily Nation la Kenya. “Tulikuwa tumeshapanga kabisa sehemu ya kukutana […]

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laahirishwa mara mbili kutafuta mwafaka maazimio ya PAC

Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania limeongeza muda wake na kusitisha vikao vyake mara mbili ili kutafuta muafaka juu ya andikaji wa maazimio yatakayotumiwa kuwawajibisha wale wote waliohusika na kashfa ya Escrow.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Misri waanza leo kwa siku mbili

Raia wa Misri watapiga kura siku mbili kumchagua rais mpya chini ya ulinzi mkali kuhakikisha mchakato wa upigaji kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge kujadili Escrow kwa siku mbili Dodoma

 Ripoti ya sakata la ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow sasa itajadiliwa kwa siku mbili bungeni baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge kukubaliana kuongeza muda tofauti na ule wa awali ambao ulikuwa ni siku moja.

 

11 years ago

Michuzi

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu wan chi hiyo Kinshasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Rais...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA SIKU MBILI KWA WANAHABARI WAMALIZIKA JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa MISA-Tanzania ,Mohamed Tibanyendera akizungumza wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mgeni rasmi katika mkutano huo Mh Jaji Mstaafu Mark Bomani akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.

 

11 years ago

GPL

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA SIKU MBILI JIJINI DAR

Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48  kwa siku za Alhamisi na Iijumaa ya tarehe 30 na 31 Octoba 2014, kuanzia saa kumi na mbili asubuhi, ili kuruhusu mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Chambezi, Bagamoyo. 
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo kukosa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani