Siku tatu za kishindo; watano kutangaza nia CCM
>Ni siku tatu za hekaheka na kujenga hoja za kujinadi kuanzia kesho wakati makada wa CCM watakapotangaza kwenye mikutano ya hadhara sababu zilizowasukumu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Aug
NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
CCM: Marufuku kutangaza nia ya kugombea urais
Na Ally Ndota, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonya viongozi na watendaji wake kuacha tabia ya kuwabeba wana-CCM wanaotangaza nia ya kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao, kwani kufanya hivyo ni kukiuka kanuni na miongozo ya Chama.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ametoa onyo hilo alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Kamati za Siasa za Mkoa na Wilaya za Kichama za Mjini na Amani, ikiwa ni mfululizo wa ziara ya wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya NEC,...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Membe: Watanzania subirini kwa hamu siku yangu ya kutangaza nia ya kuwania Urais
Na theNkoromo Blog
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye...
11 years ago
Michuzi
NAPE : CCM HAIKATAZI MWANACHAMA WAKE KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI

Nape alisema taratibu za kugombea Uongozi ndani ya chama zipo na kuna Kanuni mbili, moja ni ya Kanuni za Viongozi na Maadili na pili Kanuni zinazosimamia Uchaguzi...
10 years ago
Vijimambo
Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama

Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
10 years ago
Vijimambo
Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Habarileo25 Jan
Ngeleja akanusha kutangaza nia
MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, amesema kamwe hajawahi kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.