Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku ya Mwalimu Nyerere, Fikra Kutoka Kavazini

SIKU ya Mwalimu Nyerere imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka hapa nchini, na hata katika baadhi ya nchi Bashiru Ally

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Global Publishers

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye Shule ya Sekondari Pugu iliyokuwa ikimpa kipato cha kujikimu na kuendesha maisha yake.

Alifanya maamuzi hayo ya kuachana na kazi yake hiyo na kuingia rasmi kwenye shughuli za kisiasa kupitia chama cha Tanganyika African National Union(TANU), ambazo kwa wakati huo hazikuwa na malipo zaidi ya kujitolea na wakati mwingine zilipelekea mtu kutiwa hatiani na...

 

5 years ago

Global Publishers

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye Shule ya Sekondari Pugu iliyokuwa ikimpa kipato cha kujikimu na kuendesha maisha yake.

Alifanya maamuzi hayo ya kuachana na kazi yake hiyo na kuingia rasmi kwenye shughuli za kisiasa kupitia chama cha Tanzania African National Union, ambazo kwa wakati huo hazikuwa na malipo zaidi ya kujitolea na wakati mwingine zilipelekea mtu kutiwa hatiani na kubambikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

9 years ago

GPL

HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere enzi za uhai wake. HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA. TUMETOKA WAPI, TUKO WAPI, TUNAKWENDA WAPI NA TUFANYE NINI ILI TUFIKE TUNAKOTAKA! Hotuba ya Mwalimu Julius K. Nyerere aliyoitoa wakati wa kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mbeya Mei 1, 1995. Mwalimu Nyerere alialikwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA MDAU KUTOKA UKEREWE-KINANA AMENIKUMBUSHA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE

NA HAFIDH KIDO, Ukerewe
MWAKA 1995 kulikuwa na vuguvugu la vyama ya siasa kurithi kiti cha Rais wa awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi, hasa ikizingatiwa ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichoshika dola pamoja na vyama vya upinzani kama NCCR-Mageuzi ya Augustino Lyatonga Mrema na Chama cha Wananchi (CUF), ni nani mwenye sifa ya kuongoza Tanzania.
Mambo yalikuwa mengi lakini udini na ukabila vilishika nafasi kubwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani