Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALA YA MDAU KUTOKA UKEREWE-KINANA AMENIKUMBUSHA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE

NA HAFIDH KIDO, Ukerewe
MWAKA 1995 kulikuwa na vuguvugu la vyama ya siasa kurithi kiti cha Rais wa awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi, hasa ikizingatiwa ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichoshika dola pamoja na vyama vya upinzani kama NCCR-Mageuzi ya Augustino Lyatonga Mrema na Chama cha Wananchi (CUF), ni nani mwenye sifa ya kuongoza Tanzania.
Mambo yalikuwa mengi lakini udini na ukabila vilishika nafasi kubwa,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere enzi za uhai wake. HOTUBA YA MWALIMU NYERERE SIKU YA MEI MOSI 1995 MBEYA. TUMETOKA WAPI, TUKO WAPI, TUNAKWENDA WAPI NA TUFANYE NINI ILI TUFIKE TUNAKOTAKA! Hotuba ya Mwalimu Julius K. Nyerere aliyoitoa wakati wa kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani, Mbeya Mei 1, 1995. Mwalimu Nyerere alialikwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika...

 

9 years ago

Raia Mwema

Siku ya Mwalimu Nyerere, Fikra Kutoka Kavazini

SIKU ya Mwalimu Nyerere imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka hapa nchini, na hata katika baadhi ya nchi Bashiru Ally

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana Ukerewe

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.

19

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Vijimambo

kinana wilayani ukerewe

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe.Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Michuzi

mbowe katika mkutano wa hadhara mjini nansio, ukerewe, Mwalimu na Nassari makambako


Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe jana. Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani