Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Silima: Ajali ni janga la taifa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema kwa sasa inawekeza zaidi katika mapambano dhidi ya ajali za barabrani kutokana na idadi kubwa ya Watanzania kupoteza maisha.
Imesema kwa sasa ajali zimekuwa janga la taifa kuliko hata ugonjwa wa Ukimwi, hivyo jitihada za haraka zinahitajika katika kudhibiti.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, aliyasema hayo  jana  alipokuwa akipokea hundi ya  sh. milioni 40 kutoka kwa Kampuni ya Puma, kwa ajili ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda  Usalama...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa

Bunge liliambiwa juzi kwamba Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI TANGA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wadau wa Usalama Barabarani pamoja na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia ni Katibu wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI ARUSHA LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mimba za utotoni janga la taifa

INGAWA asasi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali zinapiga vita ndoa na mimba za utotoni, bado tatizo hilo ni kubwa katika  mikoa ya Mtwara na Lindi. Ripoti ya pili...

 

9 years ago

Mwananchi

Tutangaze kipindupindu janga la taifa

Mwishoni mwa mwezi uliopita Shirika la Afya Duniani (WHO), liliionya Tanzania kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini na kwamba ikiwa hatua za uhakika hazitachukuliwa, basi kuna uwezekano ugonjwa huo ukaenea hadi nchi jirani.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa michezo nchini ‘janga la Taifa’

Wakati wa utawala wa Baba wa Taifa, Marehemu Julius Kambarage Nyerere, Tanzania iliingia kwenye rekodi ya mataifa tishio barani Afrika katika michezo.

 

10 years ago

Mwananchi

NATOA HOJA : Taifa Stars majanga, halafu tumeitia janga

Mwishoni mwa wiki iliyopita, nilisikia habari kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepitisha utaratibu wa klabu za Ligi Kuu kusajili wachezaji saba wa kigeni kwa ajili ya kuchezea klabu hizo.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA TAIFA WAUENDESHAJI WA SHUGHULI ZA UTALII NCHINI TANZANIA WAKATI HUU WA JANGA LA CORONA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii na Waandishi wa Habari leo jijini Arusha wakati wa Uzinduzi rasmi wa Mwongozo wa Taifa wa Uendeshaji wa shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la CORONA.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kulia) na Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani