Simba kumrejesha Mserbia
KLABU ya Simba imesema itamrejesha Kocha wake wa viungo raia wa Serbia, Dusan Momcilovic (pichani) kwa ajili ya kuendelea na kibarua cha kukinoa kikosi cha Simba katika mzunguko ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Mserbia amrithi Idd Pazi Simba
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini Rais wake Evance Aveva, umempa mkataba wa miezi miwili kocha mpya wa makipa, Mserbia Zdravkomr Djekic. Uteuzi wa Mserbia huyo umekuja siku chache tu...
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Kocha Mserbia: Popadic, Mtani Jembe zimenileta Simba
Kocha wa viungo wa Simba, Dusan Momcilovic amesema amejiunga na timu hiyo baada ya kushawishiwa na kocha Dragan Popadic pamoja na kuitazama mechi ya Nani Mtani Jembe.
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Mserbia aitamani Yanga
Kocha wa zamani wa Yanga na SC Villa (Uganda), Srdjan Zivojnov amesema yuko tayari kuchukua jukumu la kuwafundisha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga.
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Yanga yamkubali Mserbia
>Uongozi wa Klabu ya Yanga umevutiwa kwa kiasi kikubwa na kocha Mserbia, Kapunovic Goran na huenda ukamtambulisha rasmi leo kuwa kocha mpya wa timu hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania