Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba SC: Tutazuia ubingwa wa Yanga Aprili 19

Katibu wa Simba Ezekiel Kamwaga. Mohammed Mdose na Said Ally
TIMU ya Simba imesema itahakikisha inaibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya watani wao Yanga.
Yanga na Simba watakutana Aprili 19 mwaka huu mchezo ambao ni muhimu kwa Yanga kwani iwapo watashinda wanaweza kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa wa bara kwa msimu wa pili mfululizo. Akizungumza na Championi Jumatano, Katibu wa Simba Ezekiel Kamwaga, alisema baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga Aprili 19

>Bodi  ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewahisha kwa siku 10, mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga ili kupitisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

 

11 years ago

GPL

Aliyeinyima ubingwa Yanga, atua Simba

Mashabiki wa timu ya Yanga SC. Na Sweetbert Lukonge
WAKATI zoezi la usajili kwa timu za Ligi Kuu Bara lilizidi kupamba moto, uongozi wa Simba upo mbioni kumtia kundini straika aliyeinyima ubingwa Yanga msimu wa 2011/12. Straika huyo si mwingine, bali ni Musa Said ambaye kwa sasa anaitumikia timu ya Daraja la Kwanza ya African Lyon ambayo alijiunga nayo mwaka jana akitokea Toto African ya jijini Mwanza. Wapenzi pamoja na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Mkude awazia ubingwa Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude amesema ushindi wa kwanza walioupata dhidi ya Ruvu Shooting umewapa morali na watahakikisha hawarudi nyuma na watajitahidi watwae ubingwa msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yanyatia ubingwa

Mabingwa watetezi, Yanga wamefufua matumaini yao ya kutetea ubingwalipoichapa Kagera Sugar mabao 2-1, huku mechi kati ya Ruvu Shooting na Azam uliokuwa ufanyike Uwanja wa Mabatini, Pwani ukiahirishwa kutokana na mvua kubwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Ubingwa wanukia Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

UBINGWA huoo…! Ndiyo, timu ya Yanga ambayo imeusogelea kwa karibu ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-1 kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.

Baada ya ushindi huo, vinara hao wamefikisha pointi 46 na kuzidisha pengo la pointi baina yake na Azam inayomfuatia ambalo limefikia pointi nane.

Yanga iliyotoka kuichapa Coastal Union mabao 8-0, ilianza kwa kasi kubwa mchezo huo na kupata bao dakika tano lililofungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

MALENGO: Kerr aota ubingwa Simba

>Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anakiandaa kikosi chake  kuhakikisha anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani