Ubingwa wanukia Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
UBINGWA huoo…! Ndiyo, timu ya Yanga ambayo imeusogelea kwa karibu ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-1 kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.
Baada ya ushindi huo, vinara hao wamefikisha pointi 46 na kuzidisha pengo la pointi baina yake na Azam inayomfuatia ambalo limefikia pointi nane.
Yanga iliyotoka kuichapa Coastal Union mabao 8-0, ilianza kwa kasi kubwa mchezo huo na kupata bao dakika tano lililofungwa na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
UBINGWA YANGA WANUKIA, YAONGOZA 2-0 DHIDI YA POLISI MORO




10 years ago
MichuziUbingwa wanukia kwa Yanga, yaichapa Ruvu Shooting bao 5-0 leo
Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).

Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki...
11 years ago
GPL
Wazambia wanukia Yanga SC
11 years ago
Mwananchi25 May
Uchaguzi Yanga wanukia Agosti
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Yanga yanyatia ubingwa
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Yanga kutangaza ubingwa Jumatatu
10 years ago
Mwananchi11 May
Sababu 10 zilizoipa Yanga Ubingwa
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Yanga SC hii, ubingwa lazima
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia.
Khadija Mngwai, Dar es Salaam
YANGA imeondoka jana saa 4:00 asubuhi kwenda Zanzibar tayari kwa Kombe la Mapinduzi. Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi amesema kwa kikosi walichonacho ni lazima watwae ubingwa.
Kesho Jumapili saa 10:30 jioni kwenye Uwanja wa Amaan, Yanga itacheza na Mafunzo katika mchezo wa Kundi B la michuano hiyo. Timu nyingine za Kundi B ni Azam FC na Mtibwa Sugar.
Kikosi cha Yanga kiliwasili salama jana mchana Zanzibar na...