Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kutangaza ubingwa Jumatatu

Dar es Salaam. Vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga huenda wakatangaza ubingwa  Jumatatu ijayo kama watashinda michezo yake mitatu wiki hii dhidi ya Stand United, Polisi Morogoro na Ruvu Shooting.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.

Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.

Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Ubingwa wanukia Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

UBINGWA huoo…! Ndiyo, timu ya Yanga ambayo imeusogelea kwa karibu ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-1 kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.

Baada ya ushindi huo, vinara hao wamefikisha pointi 46 na kuzidisha pengo la pointi baina yake na Azam inayomfuatia ambalo limefikia pointi nane.

Yanga iliyotoka kuichapa Coastal Union mabao 8-0, ilianza kwa kasi kubwa mchezo huo na kupata bao dakika tano lililofungwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yanyatia ubingwa

Mabingwa watetezi, Yanga wamefufua matumaini yao ya kutetea ubingwalipoichapa Kagera Sugar mabao 2-1, huku mechi kati ya Ruvu Shooting na Azam uliokuwa ufanyike Uwanja wa Mabatini, Pwani ukiahirishwa kutokana na mvua kubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zilizoipa Yanga Ubingwa

>Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 kimemalizika wiki iliyopita kwa Yanga kunyakua ubingwa ikiwa ni mara ya 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yaiachia ubingwa Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wameanza kukata tamaa ya kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka bayana kwamba malengo yao ni kuhakikisha Simba haiwaondoi katika nafasi ya pili.

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga SC hii, ubingwa lazima

SIMBA-YANGA-12.jpgWachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia.

Khadija Mngwai, Dar es Salaam

YANGA imeondoka jana saa 4:00 asubuhi kwenda Zanzibar tayari kwa Kombe la Mapinduzi. Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi amesema kwa kikosi walichonacho ni lazima watwae ubingwa.

Kesho Jumapili saa 10:30 jioni kwenye Uwanja wa Amaan, Yanga itacheza na Mafunzo katika mchezo wa Kundi B la michuano hiyo. Timu nyingine za Kundi B ni Azam FC na Mtibwa Sugar.

Kikosi cha Yanga kiliwasili salama jana mchana Zanzibar na...

 

11 years ago

GPL

Aliyeinyima ubingwa Yanga, atua Simba

Mashabiki wa timu ya Yanga SC. Na Sweetbert Lukonge
WAKATI zoezi la usajili kwa timu za Ligi Kuu Bara lilizidi kupamba moto, uongozi wa Simba upo mbioni kumtia kundini straika aliyeinyima ubingwa Yanga msimu wa 2011/12. Straika huyo si mwingine, bali ni Musa Said ambaye kwa sasa anaitumikia timu ya Daraja la Kwanza ya African Lyon ambayo alijiunga nayo mwaka jana akitokea Toto African ya jijini Mwanza. Wapenzi pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam yaipa Yanga nafasi ya ubingwa

Kichekochatawala Yanga baada ya kuitesa Azam FC katika mechi ya tatu na kuipa Yanga nafasi ya ubingwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga ubingwa Bara

Yanga imezidi kuchanja mbuga kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga Mbeya City 3-1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani