UBINGWA YANGA WANUKIA, YAONGOZA 2-0 DHIDI YA POLISI MORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-zWR544iNvLw/VT5F4U-rohI/AAAAAAABYCs/DagOyJU4tH0/s72-c/1.jpg)
Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
Mshambuliaji Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Shabiki wa Yanga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 Apr
DAKIKA 90 ZA UBINGWA YANGA * yaikamia Polisi Moro leo.
ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER, DAR
NI sherehe tu! Timu ya Yanga imepanga kufungua champagne endapo watapata pointi tatu dhidi ya Polisi Morogoro leo, zitakazowafanya kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu.
Yanga itashuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.
Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha, jana...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Ubingwa wanukia Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
UBINGWA huoo…! Ndiyo, timu ya Yanga ambayo imeusogelea kwa karibu ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-1 kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.
Baada ya ushindi huo, vinara hao wamefikisha pointi 46 na kuzidisha pengo la pointi baina yake na Azam inayomfuatia ambalo limefikia pointi nane.
Yanga iliyotoka kuichapa Coastal Union mabao 8-0, ilianza kwa kasi kubwa mchezo huo na kupata bao dakika tano lililofungwa na...
10 years ago
MichuziUbingwa wanukia kwa Yanga, yaichapa Ruvu Shooting bao 5-0 leo
Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).
![](http://3.bp.blogspot.com/-_815IVohPwo/VTplBhnrmCI/AAAAAAABXqc/PlFdpnBSLqY/s1600/2.jpg)
Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Yanga, Polisi Moro wachimbana mkwara
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zWR544iNvLw/VT5F4U-rohI/AAAAAAABYCs/DagOyJU4tH0/s72-c/1.jpg)
YANGA BINGWA 2015,YAINYUKA POLISI MORO 4-1
![](http://4.bp.blogspot.com/-zWR544iNvLw/VT5F4U-rohI/AAAAAAABYCs/DagOyJU4tH0/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-3qF5arxuyb0/VT5FqAw_1uI/AAAAAAABYCc/_vI0qgaaY5g/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nGLNQDZ1Pdo/VT5FwwOv5vI/AAAAAAABYCk/dh0LdXeS86U/s1600/3..jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8gAylGNOAXg/VT5F7XdoHRI/AAAAAAABYC0/gt5d6pj1ASk/s1600/4.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Polisi Moro: Yanga acheni visingizio vyenu
10 years ago
GPLYANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBInDKecIiweU-EY1H7txVNYg*k3o1uKosae75-*h0TZiSBYnBbobqaco*PebGgkWSw3G9iodIV9v8uOqzB06BIvN/wazambia.jpg?width=650)
Wazambia wanukia Yanga SC