Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKIKA 90 ZA UBINGWA YANGA * yaikamia Polisi Moro leo.

yangaABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER, DAR

NI sherehe tu! Timu ya Yanga imepanga kufungua champagne endapo watapata pointi tatu dhidi ya Polisi Morogoro leo, zitakazowafanya kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu.

Yanga itashuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini hapa ikisaka pointi tatu dhidi ya Polisi Moro zitakazowafanya kufikisha pointi 55 ambazo hazitaweza kufikiwa na mabingwa watetezi Azam FC wenye pointi 45 katika nafasi ya pili.

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. Jonas Tiboroha, jana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UBINGWA YANGA WANUKIA, YAONGOZA 2-0 DHIDI YA POLISI MORO

 Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe. Mshambuliaji Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Shabiki wa Yanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Polisi Moro wachimbana mkwara

Wakati Yanga ikishuka uwanjani leo mjini Morogoro kuikabili Polisi, makocha wa timu hizo wamechimbana mkwara kwa kila mmoja kumwadhiri mwenzake.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Moro: Yanga acheni visingizio vyenu

 Polisi Morogoro kupitia kwa kocha wao msaidizi, John Tamba imeibeza Yanga inayocheza nayo kesho kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kuwa waache visingizio kwa kusema Uwanja wa Jamhuri Morogoro ni mbaya.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA BINGWA 2015,YAINYUKA POLISI MORO 4-1

 Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na Francis Dande) Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe. Mshambuliaji Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Shabiki wa Yanga...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akipongezwa na mwenzake baada ya kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Polisi Moro jana. Danny Mrwanda (kati) akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya Polisi Moro.…

 

10 years ago

Michuzi

Ubingwa wanukia kwa Yanga, yaichapa Ruvu Shooting bao 5-0 leo


Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande). Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0. 
Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 180 Yanga SC bingwa

Dar es Salaam. Yanga inasubiri dakika 180 ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya jana kuifunga Stand United ya Shinyanga kwa mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 45 za mwisho ngumu Simba, Yanga

Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kufanyika Jumamosi, safu za ulinzi za Simba na Yanga zimeonekana kutokuwa makini, dakika 45 za kipindi cha pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani